Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
NASHINDWA KUELEWA
Napata taabu kidogo kuelewa mantiki yako.Mkuu, hata nchi zilizoendelea zenye mifumo mizuri watu wanafanya uhalifu. Uhalifu ni wa kukemewa na mhalifu anastahili vyote lawama na adhabu pia.
Kwanza unadhani kama ingekuwa video ya watu weusi kuwapiga wachina watu wangefurahia hivi? Au ingekuwa tu mtu mweusi kwa mweusi wamefanyiana uonevu comments nyingi zingekuwa za kukemea
Hii ya hapa watu wana support kwa sababu ni wachina ndio wamewapiga waafrika
You're totally missing the point, no one is justifying crime.There's no justification of crime
Hao ndio wanaosimamia hizi sheria tunazotaka sote zifanye kazi; na huku kulaumu wachina kote, ingesaidia zaidi ukaelekeza lawama hizo penye tatizo.CCM kuteka watu pia sio sawa, still ni crime maana umeandika as if na support utekaji wa CCM. Mara kibao humu naandika comments za kukosoa CCM na utekaji wao
Watwana Vs Watumwa,Wachina wadaiwa kuwapiga vibaya Watanzania
Hata hunielewiNapata taabu kidogo kuelewa mantiki yako.
Sheria zipo, wasimamizi wa sheria hizo wanajulikana, ni watu wasioheshimu sheria hizo hizo na wao kushiriki kuzikiuka.
Watu hao unawajuwa.
Sehemu kubwa ya unaosema wanashangilia, kushangilia kwa kuwa wachina wamewapiga waTanzania, per se; bali ni kuunganisha tukio hili na hali mbovu kwa ujumla wake ilivyo kiutawala.
"Utaifa au Uzalendo ni bidhaa adimu sana kwa waTanzania wakati huu.
Ukilielewa vyema hili, najuwa hatutakuwa na tofauti yoyote miongoni mwetu; kwa sababu najuwa unacholenga hasa kwa haya maandishi yako.
Unapoona watu wanafikia kushangilia misiba ya baadhi ya watu, hili kweli halikustui wewe?
Leo hii tukivamiwa, na hata kiinchi dhaifu, tutapata taabu sana katika hali tuliyomo kama taifa.
We jamaa, mimi siongelei CCM, naongelea tabia mbaya ya hao wachina kujichukulia sheria mkononi. Sio jambo la kushangilia. Duh, hivi unaweza hata kujadili mada ya kawaida kweli for onceHao ndio wanaosimamia hizi sheria tunazotaka sote zifanye kazi; na huku kulaumu wachina kote, ingesaidia zaidi ukaelekeza lawama hizo penye tatizo.
Tatizo si wachina; tatizo ni hao matumbi wenzetu.
Mchina angeanzia wapi kuvunja sheria za nchi akijuwa wanaheshimu sheria zao?
Sasa unataka tuwatungie sheria zinazowalenga wachina au wageni pekee wanapohusiana na wananchi huko mitaani?
Niambie ni wachina wangapi wamewapiga waingereza, au wajerumani, kwani huko hawapo?
Niliwahi kuandika kuhusu wachina kunyanyasa na kuwatesa Watanzania, nenda pale Avic Dodoma waliwahi kumdunda mtanzania na hakuna hatua ilichukuliwa au kule Songwe walimdunda operator vibaya sanaWafanyakazi wazawa wanaofanya kazi katika Kampuni ya TBEA inayotekeleza miradi ya TAWA za uvutaji, usambazaji umeme mkubwa kuanzia kipande cha Chalinze, Magubike kuelekea Dodoma, wamemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba kuingilia kati madai ya unyanyasaji wa kuchezea kipigo kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo ambayo ni raia wa China.
Chanzo: ITV
WIZI NA UVIVU WA KITANZANIA NI SHIDA KUBWA SANA!...Acha mupigwe labda mtajifunza jambo, Wajinga wakubwa nyie!