Hakuna zaidi ya wiziWalifanya nini hao waliopigwa??
Hakuna zaidi ya wiziWalifanya nini hao waliopigwa??
If Samia and her gang are a reflection of who we are; I have no regrets at all, of "self-hating'.Self hate
HahahahahaaaaaKila la heri ndugu baradhuli.
Wengi wao ni waharifu walio maliza vifungo gerezani huko china.Ni wakorofi sana, nilishuhudia kule Mbeya, wanawashika wanawake makalio halafu wanachekelea.
Niliambiwa mara nyingi hao wachina wanaoletwa huku ni wale waliotokea province za vijijini, hawakusoma sana hivyo walipelekwa vyuo vya ufundi, hawana nyadhifa za juu.
Utachukua muda Gani kujua wa Tanzania ni mafaraWafanyakazi wazawa wanaofanya kazi katika Kampuni ya TBEA inayotekeleza miradi ya TAWA za uvutaji, usambazaji umeme mkubwa kuanzia kipande cha Chalinze, Magubike kuelekea Dodoma, wamemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba kuingilia kati madai ya unyanyasaji wa kuchezea kipigo kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo ambayo ni raia wa China.
Chanzo: ITV
Lakini pia tuseme, kuna mengi sana ya kujifunza toka kwa hawa wachina.Na nyie saidia fundi acheni uwizi na kufanya KAZI kizembe kama hii Nchi sio yenu .
Eniwei CCM ijijengee yenyewe kuwa na uwezo wa ku implement miradi kama hii, sioni sababu ya kuwatumia wachina kwenye kila mradi , wakati wasomi wazawa wakikosa kujifunza, kujijenga ki uchumi.
Wachina wakimaliza huo mradi wanakuwa mabilionea , wanunua nyumba hapa Bongo, hotel, huku wakisubiri mradi mwingine,
Sisi wasomi wetu wapo wapo TU , wanasubiria teuzi TU, Nchi haindeshi kwa siasa, bali kama corporation company 🙏✅
Ujinga wao ni upi!?Acha mupigwe labda mtajifunza jambo, Wajinga wakubwa nyie!
Mkuu 'Traxtion', hivi wewe ni mgeni hapa nchini, na hata huko uliko taarifa za nchi hii huzipati?Maana gani, watu wanapigwa na wachina na wabongo wanashangilia.
Hii 'inferiority' unayozungumzia hasa inatokea wapi; kwa vile ni wachina wamefanya hivyo?. Watu wanajiona inferior na wanaona wachina kama superior kiasi kwamba wanawaona kama Mungu, eti ni sawa kufanyia watu weusi chochote wanachojisikia
Kuna damage kubwa sana kwenye akili zetu Watanzania
Naelewa unachojaribu kutetea, lakini utetezi wa kibaguzi hauhalalishi chochote.Hii ni crime kama crime nyingine mkuu. Sometimes sio kila kitu lazima kulink na siasa. CCM ni wakoloni ndio, lakini haijustify raia wa kigeni kujichukulia sheria mkonono dhidi ya Mtanzania yoyote yule. Still hakuna sababu ya kujustify walichofanya
There's no justification of crimeMkuu 'Traxtion', hivi wewe ni mgeni hapa nchini, na hata huko uliko taarifa za nchi hii huzipati?
Watu wanatekwa, wanauliwa, kama ilivyofanyika Oktoba, na hao hao wauaji wanatamba; leo hii wewe unakuja hapa na hiyo 'self-hate', sijui umeitoa wapi hiyo?
Hii 'inferiority' unayozungumzia hasa inatokea wapi; kwa vile ni wachina wamefanya hivyo?
Hawa wanaotuua na kututeka wakiwa wamatumbi wenzetu nao tusemeje juu yao!
Mkuu, hata nchi zilizoendelea zenye mifumo mizuri watu wanafanya uhalifu. Uhalifu ni wa kukemewa na mhalifu anastahili vyote lawama na adhabu pia.Naelewa unachojaribu kutetea, lakini utetezi wa kibaguzi hauhalalishi chochote.
"Sheria" haichambui ni raia wa kigeni, au ni mwenyeji; wote inawafunga kwa pamooja.
Maana yangu ni kwamba hiyo sheria unayoitegemea wewe, hao wanaoisimamia ilinde kila mtu hawatimizi wajibu wao. Hao ndio wa kuwashikia bango, bila kujali ni raia wa kigeni au ni mmatumbi mwenzetu.
Wewe unaelekeza lawama zako kwa wasiohusika. Mchina asingethubutu kumpiga yeyote kama sheria zipo na zinafanya kazi sawasawa..