Wachina wadaiwa kuwapiga vibaya Watanzania

Wachina wadaiwa kuwapiga vibaya Watanzania

Hila la mapori umelima bwashee? Au unamtegemea demu wako wa Bluetooth yule mashavu, Vale nafaka?
Hahahahahaaaaa bwashee yule bila yeye watanzania tungeshakufa wote kwa njaa😆😆😆😆

Screenshot_20260315_235620_Instagram.jpg


MamaSamia2025

adriz de mbusii
 
Ni wakorofi sana, nilishuhudia kule Mbeya, wanawashika wanawake makalio halafu wanachekelea.

Niliambiwa mara nyingi hao wachina wanaoletwa huku ni wale waliotokea province za vijijini, hawakusoma sana hivyo walipelekwa vyuo vya ufundi, hawana nyadhifa za juu.
 
Ningewaambia kitu kuhusu hali za kiuchumi miaka hii michache kuelekea 2030 lakini hamumuamini Yesu.

Endeleeni kuteseka.🚶🏾‍♀️
 
Hauwezi ukaelewa ila hiyo sentence ina maana kubwa sana kwa huu wakati tuliopo.
Maana gani, watu wanapigwa na wachina na wabongo wanashangilia. Watu wanajiona inferior na wanaona wachina kama superior kiasi kwamba wanawaona kama Mungu, eti ni sawa kufanyia watu weusi chochote wanachojisikia
Kuna damage kubwa sana kwenye akili zetu Watanzania.
SELF HATE in Africa haiwezi kuondoka leo wala kesho, long lasting effect ya colonialism. Mpaka leo watu wanajiona inferior, watavumilia upumbavu wote unaofanyaa na watu wenye ngozi nyeupe iwe wachina au wazungu ilimradi haujafanywa na watu weusi
 
Maana gani, watu wanapigwa na wachina na wabongo wanashangilia. Watu wanajiona inferior na wanaona wachina kama superior kiasi kwamba wanawaona kama Mungu, eti ni sawa kufanyia watu weusi chochote wanachojisikia
Kuna damage kubwa sana kwenye akili zetu Watanzania.
SELF HATE in Africa haiwezi kuondoka leo wala kesho, long lasting effect ya colonialism. Mpaka leo watu wanajiona inferior
Yote uliyoyaandika hapa uliyem-quote pale juu siyo kwamba hayajui anayajua sana ungemsoma katikati ya mistari ungemuelewa.

Umesema colonialism?Tanzania ipo chini ya ukoloni wa ccm tena weusi wenzetu hao madogo wanaopigwa vyuma vya kichwa na wachina wakiambiwa waitetee nchi yao dhidi ya mkoloni huyu wanaishia kutukana mitandaoni ndiyo maana wameambiwa acha wapigwe
 
Back
Top Bottom