Sasa kama mchina anafikia hatua ya kumpiga mzawa basi viongozi wamewekwa mifukoni, kwa tafsiri nyingine ni bora tungewakataa hao viongozi.Self hate
Ha haaaa watajifunza nini sasa.........Acha mupigwe labda mtajifunza jambo, Wajinga wakubwa nyie!
Vipi kama hii taarifa ingekua wazawa ndio wamewapiga wachina,wewe ungeona ni sawa?Kwa kweli wala siwaonei huruma!
Madume wazima mtapigwaje namna hiyo tena na wageni?
Na muendelee kupigwa tu maana mmezidi kuwa mafala.
Nigga ukicheka cheka naye anakupandia hadi mabegani. Nigga akikuzoea anakuwa mpuuzi sana. Sidhani kuna mtu anaweza kwenda kwa Mahita kumpiga mzinga.Muafrika bila viboko hatuendi ndiyo maana hamna kampuni ya mtu mwenye akili ukakuta ameweka msimamizi muafrika
Hapana. Si sawa kwa mtu yeyote yule kumpiga mwenzake.Vipi kama hii taarifa ingekua wazawa ndio wamewapiga wachina,wewe ungeona ni sawa?
Hapa issue ni kujichukulia sheria mkononi ndio kosa kuu.
Kama wanaowapiga migumi, basi hata kuwalawiti watakuwa wanalawitiwaWafanyakazi wazawa wanaofanya kazi katika Kampuni ya TBEA inayotekeleza miradi ya TAWA za uvutaji, usambazaji umeme mkubwa kuanzia kipande cha Chalinze, Magubike kuelekea Dodoma, wamemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba kuingilia kati madai ya unyanyasaji wa kuchezea kipigo kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo ambayo ni raia wa China.
Chanzo: ITV
Hili la mapori umelima bwashee? Au unamtegemea demu wako wa Bluetooth yule mashavu, Vale nafaka?Wacha yapigwe tu. Hii nchi unaweza safiri kilomita zaidi ya mia tano ukakutana na mapori manene yakoyako tu bwerere badala yaende yakalime yamebakia kufanya kazi kwa mchina. Yapigwe tu no mercy.
adriz de mbusii