Wachina wadaiwa kuwapiga vibaya Watanzania

Napata taabu kidogo kuelewa mantiki yako.

Sheria zipo, wasimamizi wa sheria hizo wanajulikana, ni watu wasioheshimu sheria hizo hizo na wao kushiriki kuzikiuka.

Watu hao unawajuwa.

Sehemu kubwa ya unaosema wanashangilia, kushangilia kwa kuwa wachina wamewapiga waTanzania, per se; bali ni kuunganisha tukio hili na hali mbovu kwa ujumla wake ilivyo kiutawala.
"Utaifa au Uzalendo ni bidhaa adimu sana kwa waTanzania wakati huu.
Ukilielewa vyema hili, najuwa hatutakuwa na tofauti yoyote miongoni mwetu; kwa sababu najuwa unacholenga hasa kwa haya maandishi yako.

Unapoona watu wanafikia kushangilia misiba ya baadhi ya watu, hili kweli halikustui wewe?

Leo hii tukivamiwa, na hata kiinchi dhaifu, tutapata taabu sana katika hali tuliyomo kama taifa.
 
There's no justification of crime
You're totally missing the point, no one is justifying crime.

You have to understand where all this is coming from. It's an expression of anger/frustration to something you somehow ignore; wonder why that is the case.
 
CCM kuteka watu pia sio sawa, still ni crime maana umeandika as if na support utekaji wa CCM. Mara kibao humu naandika comments za kukosoa CCM na utekaji wao
Hao ndio wanaosimamia hizi sheria tunazotaka sote zifanye kazi; na huku kulaumu wachina kote, ingesaidia zaidi ukaelekeza lawama hizo penye tatizo.
Tatizo si wachina; tatizo ni hao matumbi wenzetu.

Mchina angeanzia wapi kuvunja sheria za nchi akijuwa wanaheshimu sheria zao?

Sasa unataka tuwatungie sheria zinazowalenga wachina au wageni pekee wanapohusiana na wananchi huko mitaani?
Niambie ni wachina wangapi wamewapiga waingereza, au wajerumani, kwani huko hawapo?
 
MaK kweli hao Waswahili tena hio Michina ingewatemea na makohozi usoni kabisa.Unapigwa umeweka mikono nyuma tu.Siwezi kupigwa nikakuangalia tuuu.
 
Hata hunielewi
 
You're totally missing the point, no one is justifying crime.

You have to understand where all this is coming from. It's an expression of anger/frustration to something you somehow ignore; wonder why that is the case.
Okay
 
We jamaa, mimi siongelei CCM, naongelea tabia mbaya ya hao wachina kujichukulia sheria mkononi. Sio jambo la kushangilia. Duh, hivi unaweza hata kujadili mada ya kawaida kweli for once
 
Niliwahi kuandika kuhusu wachina kunyanyasa na kuwatesa Watanzania, nenda pale Avic Dodoma waliwahi kumdunda mtanzania na hakuna hatua ilichukuliwa au kule Songwe walimdunda operator vibaya sana
 
Acha mupigwe labda mtajifunza jambo, Wajinga wakubwa nyie!
WIZI NA UVIVU WA KITANZANIA NI SHIDA KUBWA SANA!...
MTANZANIA AMESHAJAZWA UJINGA NA CHADEMA KUHUSU ASALI NA MAZIWA.mabomba yatatoa maziwa,nchi hii wasio na kazi na masela watalipwa mishahara,nchi hii ni tajiri sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…