Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

Inasukitisha unawakamata na kutangaza. Wangekuwa wanawaua kimya kimya hii kitu isingekuwepo
 
Chupa tupu za K-Vant zimepangwa nje ya nyumba.

Mzigo wa Moet & Chandon umepigwa picha ndani ya karakana.

Wachina wawili wamepigwa picha pekee yao.

Kwa ufupi, hakuna kiashiria chochote kuwa hapo ni Tanzania.

Tufanye hapo ni USA
 
USHINDANI WA KIBIASHARA.

Hao ni KONYAGI na vinywaji vingine wanataka kuchafua K Vant.

Hizo picha hazifanani wala hazihusiani. Pia source ya hiyo habari ni ipi? Hakuna TV, radio, gazeti, wala mitandao ya kijamii iliyoripoti.
 
Na kwao wameongeza mtoto mmoja hadi watatu, hao wote destination ni Africa......Mama Samia kusema wawekezaji waje na watu wao watakavyo baada ya miaka 5 tutaona mengi, nimefanya kazi na wachina kwa miaka fulani,ni hatari kwa taifa
 
Tangu nimshuhudie mmiliki wa kiwanda cha K-Vant anakunywa Konyagi nilijipiga stop ya kinywaji hicho maybe nae alishakutana na cha mchina kikamfanya kitu mbaya sana 😀😀😀😀😀😀
 
Hawa waondolewe nchini warudi kwao mbele ya safari watatumaliza
 
Hizi pombe kali hazifai nyingi hazifai tena sjui kwa vile vinafyatuliwa feki!!! Juzi nimestop pombe kama miezi 2 hivi coz nlikunywa nikapoteza kumbukumbu kabisa hadi home nikapasahau,sa hiyo ni pombe au sumu.hao wachina wapewe adhabu kali
Pombe kali nyingi feki....
Ndomana watu wengi wanapatwa
Na matatizo ya kuona
Mimi ndomana nkitaka kununua pombe zangu
Nikiwa dar mara nyingi nachukuliaga mohans

Ova
 
Hawa wanaingia nchini na sanduku tu wanaondoka matajiri kwa mbinu zao hizi chafu.
Mchina ni mwiz,ukifanya naye biashara
Lazima atakuliza,vp kna njia ya magnum
Msema kweli mpenzi wa mungu
Mm wachina nlishawawasha sana wakiingia
Kwenye 18

Ova
 
Mchina ni mwiz,ukifanya naye biashara
Lazima atakuliza,vp kna njia ya magnum
Msema kweli mpenzi wa mungu
Mm wachina nlishawawasha sana wakiingia
Kwenye 18

Ova
Madini ni sababu kubwa inayowafanya wapende Congo, Mali hata Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…