Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

Pombe kali nyingi feki....
Ndomana watu wengi wanapatwa
Na matatizo ya kuona
Mimi ndomana nkitaka kununua pombe zangu
Nikiwa dar mara nyingi nachukuliaga mohans

Ova
Huwezi amini nlipiga kali ikanifutia memory kabisa alafu ni sminoff vodka sasa,mpaka sasa nimeamua kuacha pombe kali bora nile lager tu.
 
Huwezi amini nlipiga kali ikanifutia memory kabisa alafu ni sminoff vodka sasa,mpaka sasa nimeamua kuacha pombe kali bora nile lager tu.
Hahahaha
Feki inafuta memory

Ova
 
Watu kama hawa ni aina ya wanaostahili adhabu kali sana. Imagine ukutwe na kosa kama hili huko kwao China (Unajua adhabu itakayofuata).
 
Kwan wadau ukiscan code hio pombe halam ile bar code itasoma? Naiman hitosoma tubadili upepo tutakufa
 
Wachina wameligeuza bara hili dampo la bidha feki
 
nawapenda sana wachina ni wabunifu, na mimi natamani niwe mbunifu kama mchina/wachina.

wana macho madogo ya kijanjajanja kumbe ni wajanja kweli. Wanajua kutafta pesa. Hongera zao.
 
Wawekezaji wa ma CCM! Chama nyoko sana hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…