Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako.
Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua.
Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka?
Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia
molasses. Na kama ndivyo, ningependezwa kuona mtambo wao na mchakato wa kukopi ladha na harufu za hivi vinywaji. Bado nabaki na maswali kedekede.
Nimestushwa zaidi na hiyo
paint roller na rangi kwenye beseni, sijui vina kazi gani Mungu wangu!
View attachment 1899801View attachment 1899802View attachment 1899805View attachment 1899809