round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Mbona hizo nchi hazikuuza huko hata kabla ya kuwekewa 10%?Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, wao wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400, lengo kuu ni kuwadhibiti wachina,
Mchina kwa upande mwengine kaja kustukia mchezo baadae sana, kwenye kupandishiana ushuru ghafla Marekani kaziruhusu nchi nyingine kuingiza bidhaa zao kwa asilimia 10 tu.
Kilichofanya ni zaidi ya drafti, hii ni chess, China imejitafutia sababu ya kufungiwa kwenye soko la Marekani kwa wao kunogewa na mchezo wa ongeza niongeze, meanwhile nchi nyingine zinaenda kulionka soko tamu la Marekani kwa ushuru wa 10% tu,
Kampuni nyingi zimeanza commitment ya kuhamia nchi zingine au kurudi Marekani, Kutengenezea bidhaa China ni kulikosa soko tamu duniani.
Katika hii process soko la hisa la China limeshuka kwa kiwango kibaya zaidi tangu mwaka 2008
Huruma hakuwaonea penguins awaonee wa tz 😀😀 (joke)Marekani qnatutoza Tanzania ushuru wa 10% kwa sababu gani, tumemkosea nini? Kitu gani Marekani ametaka auze Tanzania tukamkatalia?
Trump hana huruma, Tanzania ni mojawapo ya nchi masikini zaidi Duniani, hakuna huruma hata kidogo?
Kabla ya hiyo press kuisha kasema milango ya majadiliano iko wazi.Mbona hizo nchi hazikuuza huko hata kabla ya kuwekewa 10%?
Trump alitegemea china kabla ya leo awe ameomba deal, leo naye kaongeza tariff hadi 125% na kasema baada ya hapa hataongeza tena tariff maana namba kufikia hadi sasa hazimake sense tena ni kama no business at all.
China hataki kupiga magoti maana demands za marekani haziishi. Demand zake zinabadilika.
Kasema hawaendi kuomba deal kwa kutishia na bullying, kasema njia hizo hazifanyi kazi kwa china. Angekuwa anataka deal asingeongeza tariff kwa US. Trump ndiye alidhani kwa kuwashushia wengine china atakuja kuomba deal kwaho yake.Kabla ya hiyo press kuisha kasema milango ya majadiliano iko wazi.
Alimaanisha nini kama hataki kupiga magoti? Why aseme hataongeza tena?
Marekani hawezi ku survive hii vita kwa sababu anamtegemea sana Mchina kupata cheap products kuanzia electronics mpaka ma toys mpaka nguo.Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400, lengo kuu ni kuwatia adabu wachina.
Mchina kaja kustukia mchezo baadae sana, kwenye kupandishiana ushuru ghafla Marekani kaziruhusu nchi nyingine kuingiza bidhaa zao kwa asilimia 10 tu.
Hata wewe ungejaa kwenye mfumo, hapo kabla Marekani ilitengeneza script kuonekana inatoza kila nchi ushuru mkubwa, China akaamini wapo kundi moja, Mara paap out of nowhere Marekani anapunguza ushuru kwa nchi nyingine lakini anaendelea kula sahani moja na mchina.
Kilichofanya ni zaidi ya drafti, hii ni chess, China kafungiwa kwenye soko la Marekani, meanwhile nchi nyingine zinaenda kulionja soko tamu la Marekani kwa ushuru wa 10% tu, nchi nyingi zinaombea ushuru wa China uongezeke zaidi ili wao wale mema ya soko la Marekani.
Kampuni nyingi zimeanza commitment ya kuhamia nchi zingine au kurudi Marekani, Kutengenezea bidhaa China ni kulikosa soko tamu duniani.
Katika hii process soko la hisa la China limeshuka kwa kiwango kibaya zaidi tangu mwaka 2008
Fatilia vizuri, kasema milango ya majadiliano iko wazi baada ya kusema hataongeza tena.Kasema hawaendi kuomba deal kwa kutishia na bullying, kasema njia hizo hazifanyi kazi kwa china. Angekuwa anataka deal asingeongeza tariff kwa US. Trump ndiye alidhani kwa kuwashushia wengine china atakuja kuomba deal kwaho yake.
Nchi nyingi hazikuweza kuuza soko la Marekani kwasababu Mchina aliteka soko.Mbona hizo nchi hazikuuza huko hata kabla ya kuwekewa 10%?
Trump alitegemea china kabla ya leo awe ameomba deal, leo naye kaongeza tariff hadi 125% na kasema baada ya hapa hataongeza tena tariff maana namba kufikia hadi sasa hazimake sense tena ni kama no business at all.
China hataki kupiga magoti maana demands za marekani haziishi. Demand zake zinabadilika.
Yaani Marekani anamtegemea china? How China ndiyo anamtegemea MarekaniMarekani hawezi ku survive hii vita kwa sababu anamtegemea sana Mchina kupata cheap products kuanzia electronics mpaka ma toys mpaka nguo.
Watu waliokwishazoea kununua cheap products Walmart na Amazon ukiwauzia vitu hivyo mara tatu ya bei ya sasa wanaweza hata kumuua Trump.
Unaishi nchi gani mkuu?
KivipiMarekani anataka amtengeneze mhindi kuwa mbadala wa china hapo Asia hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
Jiulize kwanini walishindwa kupambana naye mpaka akawapiku. Si kitu kinatokea over night nchi inakuwa main manufacturer wa bidhaa.Nchi nyingi hazikuweza kuuza soko la Marekani kwasababu Mchina aliteka soko.
Kilichofaywa ni kupunguza nguvu ya China kwa kuwatoza ushuru mrefu huku nchi nyingine zikitozwa 10% tu
China anapata pesa nyingi sana kupitia soko la Marekani, hiki alichofanyiwa ni teke katikati ya mapaja
Sio kufuatilia tu dakika chache zilizopita nimetoka kuangalia hotuba yake iliyotafsiriwa kwa kiingereza. Pia nimesikiliza hotuba ya minister of finance.Fatilia vizuri, kasema milango ya majadiliano iko wazi baada ya kusema hataongeza tena.
Teke la pumbuNchi nyingi hazikuweza kuuza soko la Marekani kwasababu Mchina aliteka soko.
Kilichofaywa ni kupunguza nguvu ya China kwa kuwatoza ushuru mrefu huku nchi nyingine zikitozwa 10% tu
China anapata pesa nyingi sana kupitia soko la Marekani, hiki alichofanyiwa ni teke katikati ya mapaja
Marekani anamtegemea m China kupata cheap labor na cheap products.Yaani Marekani anamtegemea china? How China ndiyo anamtegemea Marekani