Ukiingia kwenye ukurasa wao wa Instagram,utaona watu hao wanaojiita wachokonozi wakisema maneno hayo juu.
Ni maneno ya karaha lakini huyo jamaa anajitanabahisha kama msomi wa chuo kikuu.
Naamini ndani ya kizazi tajwa yupo mama yake pia.Taja viongozi wote unaowajua waliopo madarakani sasa,hilo tusi
limewagusa.Kashfa hiyo haikuwaacha viongozi wa vyama vya upinzani.
Harakati nyingi za kupigania maslahi ya nchi hazifanywi na kizazi tofauti na alichokitaja.
Kizazi alichokitaja ndio walijaribu kumpindua Hayati JK Nyerere kwa kutoridhishwa na jinsi anavyoiongoza nchi na si kwa tamaa ya madaraka.
Kizazi hiki wenye umri wa miaka 50 na kuendelea ndicho kilichonyimwa nafasi za kusoma kutokana na kuwepo sekondari chache na shule za msingi zikiwa masafa marefu hadi km 20 kwa wengi.
Kizazi hiki kimepitia mazito sana ikiwepo vita vya Uganda vilivyosababisha maisha kuwa magumu mno.
Kizazi hiki kilipambana sana na ukoloni mambo leo na harakati za ukombozi wa bara la Afrika.
Ninaona kizazi hiki kilichokulia kwenye sukari na keki,tofauti na wenzao wa Kenya,ni cha hovyo zaidi kwa kuwa wanaza kurithi utajiri tu na wengine hata kuuza utu wao kwa watu kama Didy ili wawe maarufu