Wachokonozi: Kizazi cha watu kati ya miaka 48-70 ni kizazi cha watu wapumbavu

Wachokonozi: Kizazi cha watu kati ya miaka 48-70 ni kizazi cha watu wapumbavu

Wao wamefanya nini

Ni wajinga sana

Hao bado wanajitafuta ,watumie lugha nzuri kufikisha ujumbe

Wazazi wao wamejinyima wao kusoma
Hao utakuta wanapakwa mafuta
😄

Ova
 
Mimi andiko langu ndo hili kuhusu wazazi sijalileta Mimi humu.

Kila kizazi kina wapubavu wakutosha tu. Wapo sahihi

Kwa bandiko lao hilo ambalo ulitaka kuliruka kimanga bila mafanikio, bila shaka wamevunja amri ya Mungu inayosema:

"Waheshimu baba na mama yako ..."

Si kila anachukulia hayo kwa wepesi, labda madogo wa vijiweni.
 
Kwa bandiko lao hilo ambalo ulitaka kuliruka kimanga
Kwahiyo kila bandiko la humu la zima nilione na kulisoma?
hawajavunja Amri yoyote neno MPUBAVU sio tusi. kila zama zina wajinga na wapubavu wa kutosha. mfano vijana wanao jiita chawa.
 
Kwahiyo kila bandiko la humu la zima nilione na kulisoma?
hawajavunja Amri yoyote neno MPUBAVU sio tusi. kila zama zina wajinga na wapubavu wa kutosha. mfano vijana wanao jiita chawa.

Kama unadhani ni sifa kawape hiyo wazazi wako watakushuru sana.
 
Dini imetupiga kwanini tujege kanisa la Billion 3 lakini tusijenge kiwanda?
#wachokonozi
View attachment 3122611
Nimegundua hawa jamaa nao wapumbavu,..wanasema "Tuhakikishe masela hawaendi jela...." Unahakikishaje sasa?

Kwa akili zao wanadhani Binadamu ni kiumbe rahisi kiasi hicho kwamba ukimuambia tu usiibe, ataacha kuiba?

Walioweka jela na adhabu wanajua wapo watu ambao hata ufanye nini lazima tu wataenda kinyume na sheria na taratibu zilivyo.


Kimsingi ni kwamba Kila generation Ina waerevu na wapumbavu,... generation ambayo wanawaita ni ya wapumbavu ndani yake kuna watu walikua na utimamu wa akili pamoja na maono makubwa tu kuliko hata tuliyo nayo kizazi cha sasa......na generation hii pia ina wapumbavu wengi tu huenda kuliko hata kizazi kilichopita.
 
Back
Top Bottom