mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Wako vizuri sana,confidence A,utundu utundu,uwezo wa kuhoji,mazingira rafiki kiutafutaji,Binafsi nimeanza kuwashtukia hawa madogo wa 2000 kama wako vizuri kuliko akina sisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako vizuri sana,confidence A,utundu utundu,uwezo wa kuhoji,mazingira rafiki kiutafutaji,Binafsi nimeanza kuwashtukia hawa madogo wa 2000 kama wako vizuri kuliko akina sisi.
Nyanyua mikono juu sema sisi ni wapumbavuHatimaya wa 70s tumefikiwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Madogo wa 2000 ukiachana na ujinga wao wa hapa na pale. Wako vizuri mno kwenye kuwaza kwa kina, kutatua Matatizo kwa njia nyepesi.Wako vizuri sana,confidence A,utundu utundu,uwezo wa kuhoji,mazingira rafiki kiutafutaji,
Nimesema 7 mara 70 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyanyua mikono juu sema sisi ni wapumbavu
Hivi wewe na wenzio si mpo kizazi cha mashoga wengi?Hao jamaa wanaitwaje, nimewakubali, wanakitu, watafika mbali.
Hicho kizazi ndio majanga halisi
1. Ndio watu wengi wa ccm wanaong'ang'ania madaraka
2. Ndio walioua uchumi wa nchi yetu.
3. Wengi wao ndio viongozi ambao mawazo yao yamefeli.
4. Hao ndio wapigaji,10% mafisadi na wezi
5. Hao ndio wakiwa maaskari wao ni kupokea maagizo toka JUU ambayo yanakandamiza watu.
6. Viongozi wengi wanaotesa na kukandamiza watu, wako kwenye rika hilo
7. Wezi wa kura wako kwenye rika hilohilo.
E.t.c
Hao jamaa wapo sahihi.
Anzeni kufuatilia rika na miaka ya viongozi wetu, anzia kwa bitozo yupo kwenye rika hilohilo. Maaijipi, maarapisi wako wengi wako rika hilo hilo.
Unadhani kila mtu ni shoga kama wewe?Hivi wewe na wezio si mpo kizazi cha mashoga wengi?
Ninyi ndo kizazi cha mashoga, kizazi mnopendwa na P Didy!Unadhani kila mtu ni shoga kama wewe?
Huu ubaguzi wa umri ni ujinga tu.Ukiingia kwenye ukurasa wao wa Instagram,utaona watu hao wanaojiita wachokonozi wakisema maneno hayo juu.
Ni maneno ya karaha lakini huyo jamaa anajitanabahisha kama msomi wa chuo kikuu.
Naamini ndani ya kizazi tajwa yupo mama yake pia.Taja viongozi wote unaowajua waliopo madarakani sasa,hilo tusi
limewagusa.Kashfa hiyo haikuwaacha viongozi wa vyama vya upinzani.
Harakati nyingi za kupigania maslahi ya nchi hazifanywi na kizazi tofauti na alichokitaja.
Kizazi alichokitaja ndio walijaribu kumpindua Hayati JK Nyerere kwa kutoridhishwa na jinsi anavyoiongoza nchi na si kwa tamaa ya madaraka.
Kizazi hiki wenye umri wa miaka 50 na kuendelea ndicho kilichonyimwa nafasi za kusoma kutokana na kuwepo sekondari chache na shule za msingi zikiwa masafa marefu hadi km 20 kwa wengi.
Kizazi hiki kimepitia mazito sana ikiwepo vita vya Uganda vilivyosababisha maisha kuwa magumu mno.
Kizazi hiki kilipambana sana na ukoloni mambo leo na harakati za ukombozi wa bara la Afrika.
Ninaona kizazi hiki kilichokulia kwenye sukari na keki,tofauti na wenzao wa Kenya,ni cha hovyo zaidi kwa kuwa wanaza kurithi utajiri tu na wengine hata kuuza utu wao kwa watu kama Didy ili wawe maarufu
Here we go, The lost sperm…..Upumbavu sio tusi. Ni ile hali ya akili kupumbaa katika jambo moja pekee na kukosa uwezo wa kufikiria nje ya box.
Tafsiri ya tusi ni uongo na kejeli ambayo mtu huambiwa ili kudhoofisha au kudidimiza hari na utu wake.