Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Sijawahi wasikia kuhusu Hilo.Kwani hawa ndiyo wale wenye mada kuwa baba na mama zao ni wapumbavu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi wasikia kuhusu Hilo.Kwani hawa ndiyo wale wenye mada kuwa baba na mama zao ni wapumbavu?
Jamaa wanasema ukweli kabisaAisee mafala wanaenda?
Kukufuru ni nini??Hawa hawajui kupangilia mawazo yao , wanatoa maneno ya kashfa na kufuru sometimes
Pia wanaangalia upande mmoja wa shilingi
Ni wanasaidia mtu kutafakari lakini kuna namna hadi kuna clip kama wanakufuru
Clip ipi ama inasemaje?Hawa hawajui kupangilia mawazo yao , wanatoa maneno ya kashfa na kufuru sometimes
Pia wanaangalia upande mmoja wa shilingi
Ni wanasaidia mtu kutafakari lakini kuna namna hadi kuna clip kama wanakufuru
Sijawahi wasikia kuhusu Hilo.
Kwa hakika wapo sahihi tu. Kwani Mzazi hawezi kuwa MPUMBAVU?Kwani kwenye habari yao hiyo waliyoweka hadharani tena bila ya aibu, kumbe wazazi wao wana umri gani?
Wachokonozi: Kizazi cha watu kati ya miaka 48-70 ni kizazi cha watu wapumbavu
Ukiingia kwenye ukurasa wao wa Instagram,utaona watu hao wanaojiita wachokonozi wakisema maneno hayo juu.
Ni maneno ya karaha lakini huyo jamaa anajitanabahisha kama msomi wa chuo kikuu.
Naamini ndani ya kizazi tajwa yupo mama yake pia.Taja viongozi wote unaowajua waliopo madarakani sasa,hilo tusi
limewagusa.Kashfa hiyo haikuwaacha viongozi wa vyama vya upinzani.
Harakati nyingi za kupigania maslahi ya nchi hazifanywi na kizazi tofauti na alichokitaja.
Kizazi alichokitaja ndio walijaribu kumpindua Hayati JK Nyerere kwa kutoridhishwa na jinsi anavyoiongoza nchi na si kwa tamaa ya madaraka.
Kizazi hiki wenye umri wa miaka 50 na kuendelea ndicho kilichonyimwa nafasi za kusoma kutokana na kuwepo sekondari chache na shule za msingi zikiwa masafa marefu hadi km 20 kwa wengi.
Kizazi hiki kimepitia mazito sana ikiwepo vita vya Uganda vilivyosababisha maisha kuwa magumu mno.
Kizazi hiki kilipambana sana na ukoloni mambo leo na harakati za ukombozi wa bara la Afrika.
Ninaona kizazi hiki kilichokulia kwenye sukari na keki,tofauti na wenzao wa Kenya,ni cha hovyo zaidi kwa kuwa wanaza kurithi utajiri tu na wengine hata kuuza utu wao kwa watu kama Didy ili wawe maarufu
Kwa hakika wapo sahihi tu. Kwani Mzazi hawezi kuwa MPUMBAVU?
Mimi andiko langu ndo hili kuhusu wazazi sijalileta Mimi humu.Sinulikuwa umeruka kimanga, halikuwa andiko lako?
View attachment 3122629
Kwa hilo la kusikia tumemaliza?
Trump aliwaita "shit hole" waafrika wote hamkulalamika leo wachokonozi wanawaita wachache wapumbavu mnalalamika,shi hole!!kikosi cha wajinga wawili kinachoona wengine wote ni wajinga isipokuwa wao ndo wajanja
Pp ipi??Hawa hawajui kupangilia mawazo yao , wanatoa maneno ya kashfa na kufuru sometimes
Pia wanaangalia upande mmoja wa shilingi
Ni wanasaidia mtu kutafakari lakini kuna namna hadi kuna clip kama wanakufuru
Mbona tunaambiawa tusiamini Imani Potofu?!haipo sahihi mnapaswa kuamini tu