Wachokonozi: Kizazi cha watu kati ya miaka 48-70 ni kizazi cha watu wapumbavu

Wako vizuri sana,confidence A,utundu utundu,uwezo wa kuhoji,mazingira rafiki kiutafutaji,
Madogo wa 2000 ukiachana na ujinga wao wa hapa na pale. Wako vizuri mno kwenye kuwaza kwa kina, kutatua Matatizo kwa njia nyepesi.
 
Much know sana mwisho wa siku unakuwa mpumbavu
 
Hivi wewe na wenzio si mpo kizazi cha mashoga wengi?
 
Yuko sahih 💯% tena sio 47 to 70 ni 30 - 50 hapa ndipo kuna frequency kubwa zaid ya Wajinga.
 
Huu ubaguzi wa umri ni ujinga tu.

Wapumbavu wapo katika vizazi vyote.

Kutafuta mchawi kizembe hivyo ni uvivu wa kufikiri tu.
 
Mbona kataja sifa moja tu ? ,Hicho kizazi kimejaa upumbavu,ubinafsi ,roho mbaya na uchawi na kila aina ya uchafu wa tabia
Kizazi cha ovyo kilichodidimiza hili taifa mpaka leo hii
Hii nchi haya mazee yanyongwe tu tuanze kujenga nchi upya
 
Joseph Mlindoko alindwe sio Kwa mawe hayo tunasubiri kikwete atuandikie Kitabu kwamba ilibidi nianzishe makundi ya urais ili nishinde
 
Upumbavu sio tusi. Ni ile hali ya akili kupumbaa katika jambo moja pekee na kukosa uwezo wa kufikiria nje ya box.

Tafsiri ya tusi ni uongo na kejeli ambayo mtu huambiwa ili kudhoofisha au kudidimiza hari na utu wake.
Here we go, The lost sperm…..
 
Hawa jamaa Huwa wanaongea ya kweli tupu tafadhari ingia hapa usikilize

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.




Hayo ni baadhi tu Kuna mengi sana Huwa wanaongea Hawa jamaa na ni ukweli mtupu.

Ni Moja ya watu wasio amini dini yoyote Ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…