Wachukie Wasukuma uwezavyo lakini kaa ukijua wamebarikiwa sana

Alafu wana kipaji cha kuharibu mazingira .. ivi ukitaja ile mikoa ya big 6 nayo vipi hawaja barikiwa ?
 
Karne hii mtu anaibuka kuzungumzia kabila hii ni anticlockwise driven mindset
 
Wasukuma wana umimi sana, nadhani ndio huo ushamba.
 
Wasukuma tupo tupo sana ukiangalia dialo msukuma JONH MNYIKA msukuma JONH pambalu msukuma shibuda msukuma pombe? Nawengine kibaoooo bagosha na na bakima
 
Kingine, Wasukuma sio wengi sana Marekani kama Wachaga na Wahaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…