Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 1,064
- 2,076
Wow!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha tafadhali mkuu [emoji3]Ukiwaona sasa hao wasuKUMA hopeless useless
Alafu wana kipaji cha kuharibu mazingira .. ivi ukitaja ile mikoa ya big 6 nayo vipi hawaja barikiwa ?Thread kadhaa huanzishwa hapa jf kuwakandia na kuwasiliba Wasukuma.
Wapo wanaosema mara Wasukuma hawaogi.
Mara Wasukuma ni washirikina.
Mara Wasukuma ni washamba .
Yote hayo inaweza kuwa Sawa lakini kaa ukijua hawa watu wamebarikiwa Sana.
Nimeishi Kanda karibu zote nchi hii hadi Zanzibar Ila Usukumani ni kiboko.
1. Hawa watu Wana uzazi Sana ,. Wasukuma hawahangaiki Kwa waganga kutafuta mimba wao wakigusa mwanamke Tu mimba chap, Usukumani mapacha kila Kona
2. Wasukuma ni wachapakazi Sana , hakuna msamiati uvivu Usukumani.
3. Wasukuma ni wakarimu sana. Pamoja na kuwa na familia kubwa lakin Msukuma kumkirimu mgeni ni Jambo la lazima kwake.
4. Ardhi Yao imebarikiwa,, Wana kila kitu hawa watu,, ardhi yenye rutuba, samaki na madini . Kama unadhan nanasi tam zipo Chalinze basi ukifika Geita utajua hujui.
5. Wasukuma Wana afya za uhakika na miili ya kibantu haswa. Wasukuma si Kama wabena , waha au wangoni kwamba wakikalia kiberiti miguu haifik chin
6. Wasukuma Wana msimamo Sana,,, Msukuma akisema no ni no tena big noo
7. Wasukuma wanaushirikiano Sana. Usukumani Hadi Leo watu wanafanya kazi za kilimo kijamaa.
8. Wasukuma wana vipaji Sana, Kama ulikuwa hujui basi kaa ukijua MRISHO Ngasa ni Msukuma, Marehem Kanumba ni Msukuma, hata hum jf vipaji vya kisukuma ni Moto mfano Mtu Kama Analyse ni mtunzi hatar. Hata UMUGHAKA anaonekana Msukuma Tu japo anadai ni mkurya
Hayo ni machache Tu katika mengi waliyobarikiwa hawa watu.
Itoshe kusema Tu kwamba kelele nyingi za kuwaponda Wasukuma hutokana na wivu tu ,, maana mti wenye matunda........
Karne hii mtu anaibuka kuzungumzia kabila hii ni anticlockwise driven mindsetThread kadhaa huanzishwa hapa jf kuwakandia na kuwasiliba Wasukuma.

Na wanyakyusaSawa naunga mkono hoja.
Ila Wachagga na Wahaya ni exceptional.
Labda wanapanda fisi !! Ivi kuna mkoa amnao ni unahali mbaya kama Shinyanga ?Sio kweli.
Wasukuma wapo vizur kwenye upandaji miti
Mhafuga fisi na chatu
Naunga mkono hoja.
Washosha wamezidi bhanaWana chuki Tu, washamba wapo kila kabila