Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

Haukuwa utapeli

Fungu la kumi ni kwaajili ya kuhani.
 

Hizo zaka Mungu anazipokeaje? Anarushiwa hewani ama zinaliwa hapa hapa duniani na wajanja wachache

Je wagonjwa wanaoteseka na kansa, stroke na mengineyo walikuwa hawatoi Zaka?
 
Neno la Mungu linasema"toeni Kwa moyo wa kupenda na Wala si Kwa shuruti" wakati wa agano la kale kutoa zaka ilikuwa ndo lazima lakini Leo hii wakati wa agano jipya,kutoa ni hiyari Kwa jinsi unavyosukumwa na moyo wako. Huyo mchungaji na wenzake wengi kama yeye wanatumia zaka ya agano la kale kama kichaka Cha unyanganyi Kwa ajili ya manufaa yao ya kifamilia. Wanatamani muumini atoe chote alichonacho Kisha abaki maskini. Mpuuze huyo pasta, ni aheri umtibishe mama yako na kuwasaidia wenye shida. Makanisa yao wamegeuza kama biashara.
 
Mimi si mkristo. Ila hii inaonekana kabisa umetunga usikie maoni ya watu na kuwaoesha una badili vyombo vya usafiri. UTUNZI WAKO NI WA KITOTO WA MWANAFUNZI WA DARASA LA 4 KWENYE SOMO LA UTUNGAJI. HAMNA KITU
Kama nimetunga ni sawa ubarikiwe sikulazimishi ukubali lakini ukweli naujua mwenyewe wala sio ww kama yapo haya mambo na yameniyokea mm mwenyewe halafu unaleta porojo za upupu
 
Mimi si mkristo. Ila hii inaonekana kabisa umetunga usikie maoni ya watu na kuwaoesha una badili vyombo vya usafiri. UTUNZI WAKO NI WA KITOTO WA MWANAFUNZI WA DARASA LA 4 KWENYE SOMO LA UTUNGAJI. HAMNA KITU
Hii barua ni ya nn yaani nisingizie kuuguza mbn itakuwa ujinga hujui hali ninayopitia
 
Ni kwamba hawafuati mafundisho ya Muhammad kikamilifu , alikuwa huwezi muona mpaka utangulize chochote kitu
soma
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....
Funika kombe mwanaharamu.apite

Jitahidi watu wasijue kama huna akili hlf nishakujua wala sikujibu
 
Acha utapeli
 
Mungu anataka sadaka yako toka lini?
 
Endeleeni kupigwa kwa mujibu wa torati mwenye haki ya kula au kupokea zaka ni mlawi na wajane walawi lilikuwa kabila mojawapo la israel ambalo lilitengwa special kwa utumishi leo hatuna walawi sasa unatoaje zaka?
 
Funika kombe mwanaharamu.apite

Jitahidi watu wasijue kama huna akili hlf nishakujua wala sikujibu
Aya ipo wazi unatanguliza sadaka , bora ata angesema baada ya huduma ndio sadaka
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....
 
Wengi wetu tunakoses hapo. Kwamba Mungu anasikia maombi na sala toka kwa wachungaji tu, kwamba ukiomba wewe mwenyewe sala na maombi yako hatayasikia. Maandiko yapo wazi kwa Hilo, ombeni mtapewa, bisheni mtafunguliwa. Na zaidi ya hapo kwenda kwa Baba si kwa kupitia kwa Mchungaji. Alisema Yesu mtu haendi kwa Baba bila kupitia kwake.
 
ww ukiwa sawa na Mungu wako si basi ht km mchungaji akikuona mwovu mbn poa tu
 
wajanja wanapiga sana pesa hapa mjini, jamaangu alianza km utani huko mkoani akaniita tukakomae nkazngua baada ya kukuta waumini hawazidi watano, saivi najuta aisee...MJINI SHULE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…