Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

MChungaji yupo sahihi wewe ndio mwenye matatizo maana ameona anakumudu kukwambia huo upuuzi... kama unajieelewa HAMA KANISA.
 
Toa fungu la kumi litakulinda na magonjwa hata bi mkubwa anaweza kupona huo ugonjwa unaokula Hela , maana tunajua MUNGU akuleta magonjwa duniani magonjwa ni ya shetani , msikilize Mchungaji wako utanishukuru.
 
Ukweli nimeusema hata mbele za Mungu nimenawa inavyoonesha ww ni moja ya manabii fekii sana ...kazana ila ujue sio wote ni kondoo
UNA UTOTO MWINGI SANA. UKIKUA UTAKUJA NIELEWA. HAPA UNAONESHA TU KUWA BADO UNA UTOTO MWINGI SANA.😁
 
Toa fungu la kumi litakulinda na magonjwa hata bi mkubwa anaweza kupona huo ugonjwa unaokula Hela , maana tunajua MUNGU akuleta magonjwa duniani magonjwa ni ya shetani , msikilize Mchungaji wako utanishukuru.
Usichanganye mambo ya mwilini na rohoni sio kila kitu kinapona kwa maombi ,nyinyi ndio mnaombea wadeni wenu wafe badala ya kulipa deni , Mungu wetu ni wa utaratibu..yaani kila kitu niburuzwe na mwanadamu ambaye hana mbingu ya kunipeleka hapana aisee mimi sio Muoga wala mnafiki ,njano ni njano ,nyeusi nyeusi
 
Toa fungu la kumi litakulinda na magonjwa hata bi mkubwa anaweza kupona huo ugonjwa unaokula Hela , maana tunajua MUNGU akuleta magonjwa duniani magonjwa ni ya shetani , msikilize Mchungaji wako utanishukuru.
Acha ufala wewe mnaotoa fungu la kumi huwa hamuumwi eh?
 
Mse.. wewe
Gari ilipata ajali nikafidowa na bima nikaamua kuongeza kidogo nikachukua gari nyingine as nimefanya replacement na kwa sasa nimebanana hali yangu ya kiuchumi siko poa sana , mambo yakikaa vizuri nitatoa zaka ila sio kwa lazima au utadhani mtu ananidai
 
Ona huyu.
Wewe baba yako alikula ugali maharage akamtafuta mama yako wakajamiiana wakatoa manii ambayo ni ugali maharage ukatoka wewe Leo unasema MUNGU HAYUPO.
sasa kujamiiana na kutoa manii kuna uhusian gani na kuwepo au kutkuwepo kwake?
 
Anza kumuombea ili asikusumbue, anzisheni kikundi cha kumuombea kwa Mungu ili ampe gari na hela.
 
Hahahaa naomba ulipe fungu la kumi ndugu yangu
 
Na afunuaye hayo yote ni Roho Mtakatifu pekee, je, binadamu humtambuaje huyo ?
Hapa ndio pagumu.....
 
sasa kujamiiana na kutoa manii kuna uhusian gani na kuwepo au kutkuwepo kwake?
kautolee manii mti alafu uone Kama huo mti utazaa.
Jiulize wewe ni Nani na umetoka wapi na asili yako ni nini?yupo aliyekutengeneza wewe.yaani manii tu hayawezi kutuumba sisi binadamu.TAFAKARI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…