Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Mkuu..Hii barua ni ya nn yaani nisingizie kuuguza mbn itakuwa ujinga hujui hali ninayopitia View attachment 2341938
Mse.. weweKAma kakubariki umenunua kagari why usitoe 10%
UNA UTOTO MWINGI SANA. UKIKUA UTAKUJA NIELEWA. HAPA UNAONESHA TU KUWA BADO UNA UTOTO MWINGI SANA.😁Ukweli nimeusema hata mbele za Mungu nimenawa inavyoonesha ww ni moja ya manabii fekii sana ...kazana ila ujue sio wote ni kondoo
Usichanganye mambo ya mwilini na rohoni sio kila kitu kinapona kwa maombi ,nyinyi ndio mnaombea wadeni wenu wafe badala ya kulipa deni , Mungu wetu ni wa utaratibu..yaani kila kitu niburuzwe na mwanadamu ambaye hana mbingu ya kunipeleka hapana aisee mimi sio Muoga wala mnafiki ,njano ni njano ,nyeusi nyeusiToa fungu la kumi litakulinda na magonjwa hata bi mkubwa anaweza kupona huo ugonjwa unaokula Hela , maana tunajua MUNGU akuleta magonjwa duniani magonjwa ni ya shetani , msikilize Mchungaji wako utanishukuru.
Acha ufala wewe mnaotoa fungu la kumi huwa hamuumwi eh?Toa fungu la kumi litakulinda na magonjwa hata bi mkubwa anaweza kupona huo ugonjwa unaokula Hela , maana tunajua MUNGU akuleta magonjwa duniani magonjwa ni ya shetani , msikilize Mchungaji wako utanishukuru.
Gari ilipata ajali nikafidowa na bima nikaamua kuongeza kidogo nikachukua gari nyingine as nimefanya replacement na kwa sasa nimebanana hali yangu ya kiuchumi siko poa sana , mambo yakikaa vizuri nitatoa zaka ila sio kwa lazima au utadhani mtu ananidaiMse.. wewe
sasa kujamiiana na kutoa manii kuna uhusian gani na kuwepo au kutkuwepo kwake?Ona huyu.
Wewe baba yako alikula ugali maharage akamtafuta mama yako wakajamiiana wakatoa manii ambayo ni ugali maharage ukatoka wewe Leo unasema MUNGU HAYUPO.
Anza kumuombea ili asikusumbue, anzisheni kikundi cha kumuombea kwa Mungu ili ampe gari na hela.Wakuu habarini
Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X)
Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu
Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !!
Nami 'nikamjibu kwa kumpigia simu nikamwambia mbona nilikuandikia msg kuwa nadharula sitahudhuria ibadani hukuupata ujumbe na nilimtumia pia na mzee nikakata simu nikascreen short msg nikamtumia whatsap
Akanijibu kuwa dharula zipo ila kama ni siku ya ibaada utume sadaka na michango , ni muhimu sana nikaa kimya
Leo Asubuhi nimeamka asubuhi nikiwa na ratiba ya kutoka kumpeleka mama yangu mzazi cliniki ya dialysis Bugado wakati natoa kausafiri kwenye chasis number alikuwa anapita tukasalimiana na kumwambia tunaelekea Hospital akasema sawa na hongera nyingi za kunua kausafiri kapya.
Imefika saa nne nipo hospitali naona Msg tena
akiniandikia ujumbe unasomeka hivi"
Leo ni mwisho wa mwezi na jana haukuwepo ibadani Tuma sasa hivi FUNGU LAKO LA KUMI UTUME NA HELA YA KUTOLEA KANISA LINA MADENI MENGI ""
Nikausoma nikatulia nakuvuta pumzi nikamtumia msg KUWA KWA SASA SINA PESA, FEDHA NINAYOBAKIA NAYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MUHIMU YA FAMILIA NAJUA PIA ZAKA UMUHIMU WAKE, nikikaa sawa nitatoa wala haina shida na hapo ndio nilikuwa najiandaa kulipia matibu ya mama kila mwezi natakiwa kulipia Milion 3 .8 kwa ajili ya dialsis ,mwez huu mambo yameyumba kabisa .
Akajibu tena wewe unabadili tu magari kwa habari ya zaka hutaki kutoa nikamwambia kwani zaka ni lazima lini sijatoa zaka zaidi ya mwezi huu nimepata msiba, na unanihusu kwa sehemu kubwa sina fedha na ninauguliwa wewe mwenyewe shahidi hali ya mzazi wangu Muda wote gari inapaswa kuwa na mafuta, muda wowote hali inabadilika tukawa tumeachana hivyo
Sasa hebu mnisaidie huu utaratibu unatoka wapi kwanini sadaka na zaka ni lazima au ni vile mtu anavyoguswa kulingana na Vile anavyopata! Maana Mungu anasema nijaribu sasa huku Naona mchungaji anatumia command utadhani kanipa yeye kisa anamadeni.
Hebu nipeni njia itakayoniondoa kanisa mikwaruzo na Mchungaji
Hahahaa naomba ulipe fungu la kumi ndugu yanguWakuu habarini

Utaeleweka kweli hapo ?Wachungaji wengi hawajasoma falsafa, unambembeleza mtu kifalsafa mpaka anatoa mshiko wa kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na afunuaye hayo yote ni Roho Mtakatifu pekee, je, binadamu humtambuaje huyo ?1Wakorintho 9:13-14 "
Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekaluni hula katika vitu vya hekalu na wale waihudumio madhababu huwa na fungu lao katika madhahabu? na Bwana vivyo hivyo ameamuru kwaba wale waihubiriyo injili wapate ridhiki kwa hiyo
//
Mal 3:10-12 SUV
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.
//
Mungu akubarikini nyote!
kautolee manii mti alafu uone Kama huo mti utazaa.sasa kujamiiana na kutoa manii kuna uhusian gani na kuwepo au kutkuwepo kwake?