Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

Tukiwa na hela dini hazitatusimanga...

Hata ukisema huna dini, utashangiliwa...
Hakika,nimejiwazia Jana nikasema ningekuwa na Hela nisingemsumbua mtu na ningeaminika pia.As usual nikatoa mchoz wa hasira nikatulia😉
 
Hakika,nimejiwazia Jana nikasema ningekuwa na Hela nisingemsumbua mtu na ningeaminika pia.As usual nikatoa mchoz wa hasira nikatulia😉
NImecheka sana... Na sauti yaki ilivyo nzuri sasa, hata ukilia ni kama unadeka vile...
 
Tumaini letuu

Milele Amina

Ushirika ushiriki na umisionari
 
Kwani kumunua gari Tatizo mkuu gari niliipia toka mwezi sita ,mwez kuna mambo ya kifamilia yamenibana hivyo sitoi fungu la kumi sitaki kutoa kinafiki

Fungu la kumi ni ya kwanza kabisa, kabla hujapanga bajeti yako

Unaweza kuona ni shida ya mchungaji anataka hela lakini zaka ni ya Mungu na agizo

Lakini utoe kwa hiyari na si kwa kulazimishwa

Na usipotoa ni kosa kubwa.

Unaweza endelea uguza mpaka senti yako ya mwisho

Zaka inaweza kukulinda na ugonjwa wa mama na matatizo mengine.

Lakini pia kama unajua vizuri kuhusu sadaka, unatoa tu hata kama huendi kanisani

Kwani sh ngapi jamani inakuuma? Unatoaga sadaka kubwa sana?


Si unatuma tu hata elfu 2, buku, tano, kumi.
 
Sasa ndo amfatiliee hivyo??
 
Pole sana mkuu..mchungaji kabisa wa TAG? Basi amekosa hekima ya kawaida tu.
Nachojua mimi TAG Zaka hawali wachungaji, inaenda moja kwa moja jimbo lakini ata ivyo baba wa kiroho ni mtu anatakiwa awe karibu kukusaidia,kukutia moyo katika kipindi iki unauguza.
Pole, wachungaji nao ni binadamu tu wasikufanye ukaikosa mbingu..
Umepata mashauri mengi.,Mungu akupe hekima ya kumaliza changamoto hii
 
Tatizo lenu nyinyi wapuuzi biblia amsomi kwa kutumia akili ...fungu la 10 ni udanganyifu mkubwa sana mnadanganywa kwa sababu amjui fungu la 10 ni nini tena lilikuwa linatolewa wapi ..kuthibitisha upumbavu wenu ni kwamba amjui maana ya HEKALU
 
Dawa ni kuanzisha kanisa lako utakuwa unajilipa fungu la kumi mwenyewe
 
Maji ukiyavulia nguo haina budi kuyaoga
Km sijakosea ww apo mwanzo ulkua RC ila ukaamua kuhama na kwenda uko nazan haina haja sana ya kulalama toa na timiza masharti ya kanisa iyo ni sheria ata biblia inakutaka ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…