Wachungaji/Maaskofu/Manabii 10 matajiri sana Tanzania

Wachungaji/Maaskofu/Manabii 10 matajiri sana Tanzania

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
1. Josephat Mwingira
Utajiri wake unakadiriwa kufikia Tsh bilioni 20

Anamiliki
Mashamba zaidi ya hekari 20,000 huko Katavi
Kiwanda cha maji Kibaha
Mashule
Na bank
Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion

2. Geo Darvie
Anamiliki magari ya kifahari
Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion
Ana mashamba makubwa na vitalu vya uwindaji Arusha.
Utajiri wake unakadiriwa kufika Ths bilioni 15

3. Askofu Kakobe
Anapesa nyingi alizoziweka kwenye akaunti zake nje ya nchi
Ana jumba la kifahari zaidi ya 4 bilioni
Ana magari ya kisasa na ardhi ya kutosha tu huko kwao
Anakadiriwa kuwa na utajiriwa 10 bilioni

4. Dr Vernon Fernandes
Huyu inakadiliwa kuwa na utajiri wa Tsh bilioni 8 pamoja na kumiliki magari na kampuni yake ya Decoda

5. Athony Lusekelo
Utajiri wa bilioni 6

6. Josephat Gwajima
Utajiri wa bilioni 5.7

7. Boniface Mwamposya
Utajiriwa bilioni 5

8. Sylvester Gamanywa
Utajiri wa bilion 5

9. Mtume Mtalemwa
Bilion 3

10. Mchungaji Mwakasege
Utajiri wa bilioni 2.7

Chanzo: Gazeti la sanifu
 
Nabii Mashimo ana utajiri wa 50B sijaona kwenye orodha.

Nabii Tito ana utajiri wa karibu 67B sijaona ukimtaja.

Tafta takwimu sahihi boss.
 
Mchungaji Emmanuel Mgaya(Masanja Mkandamizaji) yeye wapi
Yeye aliipoteza utajiri wake alipokuwa anafukuza wapinzani wasipite daraja la ubungo fly over Enzi za kukaza vyuma
 
Back
Top Bottom