Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

UJUWE kua Mungu hana shida wala hana njaa za kuomba pexa yako ila kama unamuaamini uyo mungu basi inatakiwa utoe sadaka kwa ule anaekufikisha hilo neno la mungu. Hapo ndo utapata ridha ya mungu. Sadaka sio lazma utoe pexa kama ww huna pexa ya kutoa. Toa chochote cha ziada ulichonacho kilishohalalishwa ... Unadhani Wachungaji na ma Sheikh watakula wapi? Kama sio Sadaka yako ww uliekuja kupata neno la BWANA....
 
w
angesema michango ya hiyari sio sadaka...japo wanamdis tb joshua ila kwa upande wa sadaka..inaonekana inafanya nini sio mtu kumuombea mpaka atoe hela yeye anakuombea na anakubadilishia maisha kwa fedha fedha inaenda kusaidia watu kwa kiwango ambaho serikali haifikii...
 
Halafu hili fungu la kumi kwa nini linasisitizwa sana wakati ilikuwa nadhiri ya Yakobo na Mungu wake? Halafu ukifuatilia nyaraka za Mtume Paulo utagundua alikuwa anafanya kazi ili asiwaelemee waumini wake.
 
Kwa Afrika dini ni inazidi kufanya watu washindwe kutumia akili zao vizuri. Mambo kibao tu ukianza kuyaweka kwenye mizani yapo astray. Dini ni upuuzi kama maupuuzi mengi tunayoyaona mitaani.
 
Silijui kanisa kutoka nilipopata kipa imara, lakini Mungu kaniinua sana,ili kufanikiwa si lazima utoe sadaka kwa matapeli au makanisani,sadaka haimuinui mtu,sadaka kazi yake ni kusaidia kutoa huduma za kanisa kama vile kulipa mishahara,kulipia anakara mbalimbali lakini hawa akina Fekero huzifanya sadaka za wajinga ndio mtaji wao wa maisha ya kifahari na wapambe wao, na si akina Mwingira tu bali hawa matapeli wamejaa duniani kote,wanatumia ujinga au shida za waumini kujitajirisha,dini ishakuwa biashara,wakati mwingine naona wenzetu Waislamu angalau wanamuogopa Mungu kuliko sisi Wakristo ambao kila kukichwa huwadanganya binadamu kwa kumtumia Mungu.Ni sisi wakristu ambao sasa tumeanza hata kuhalalisha ndo za jinsia moja,si ajabu Waislamu wanatuita makafiri kutokana na tabia zetu za hovyo.
 
Kwa Afrika dini ni inazidi kufanya watu washindwe kutumia akili zao vizuri. Mambo kibao tu ukianza kuyaweka kwenye mizani yapo astray. Dini ni upuuzi kama maupuuzi mengi tunayoyaona mitaani.
Mkuu akili za mwafrika zipo programmed na mzungu ni mpaka pale tutapoweza kuflash hili tatizo, China washang'amua hili wapo bize kutengeneza kizazi ambacho hakishabiani mawazo na Mzungu.
 
Yule masikini aliyetoa centi mbili Yesu alisema alitoa kuliko wote. Unatoa ulicho nacho na kiheshimiwe. Usiheshimu waliotoa vikubwa.
Hehe bonge la comeback.........uzuri wa kuijua biblia unaweza ukawapiga chenga hawa vibaka wa kiroho kwa kutumia biblia hiohio .....wanaopigwa wengi ni wale hawajielewi
 
ni non logic kumwambia muumini akuchangie pesa ya kununulia gari wakati wewe huyohuyo unajinasibu kumuombea aondokane na umasikini ...stupid..!
You are too low IQ-wise! Funguo za baraka zinapitishiwa kwa watumishi. Mungu anataka kulibariki kanisa zima, kila muumini kwene usharika na jumuia na kigango na kanisa, and not just one person. God is never interested in your little pennies.
 
Sidhani kama uko hata serious. Kama una uchoyo na tupesa twako tudogo hutaki kutoa sadaka, just kaa natwo tutazitumia kukutibia, sawa!???
 
Ukifuatilia kwa makini wafuasi wa shetani na wasio wacha Mungu wengi ndio wenye good time duniani.
You may seem to enjoy for a time now, they may seem to be suffering now; siyo muda mrefu wafurahio sasa their joy itahamishiwa kwa watesekao. So usijidanganye kwa false comfort ambayo wala hata haidumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…