Wachungaji wanaohamasisha uzinzi sio Nabii Tito peke yake, na Masanja Mkandamizaji yumo

Wachungaji wanaohamasisha uzinzi sio Nabii Tito peke yake, na Masanja Mkandamizaji yumo

Mwenye anajiita Mchungaji anamsifia Diamond na miziki ya Uchi.
Wavamizi kwenye kazi
 
Kanisa lake linaitwa Feel Free Church, haya makanisa ya Free Church yapo mengi sana duniani, sio makanisa ya kiroho, ila no makanisa ya watu kujumuika wasijione wadhambi sana au hawafai.
Makanisa haya hayakemei dhambi, uzinzi poa tu, ushoga nk.
Hebu jaribu ku Google utajifunza mengi sana kuhusu makanisa ya aina hii
Makanisa yote na misikiti ni uongo mtupu, there is no God, utapokufa ndiyo mwisho wako hapo
 
Nabii hakubaliki kwao. NI wazi hawezi enda piga pale mtaani kwao kama anavyowapiga hapa daslam!!
Kasauti kakikoroma kdogo tu mtu anaaznisha kanisa
Wajinga ndio waliwao
 
Huyo bwana hata akiambiwa Define the term THEOLOGY sidhani kama anajua🙁
 
Masanja Mkandamizaji anafanya hivi purposely ili ku promote kanisa lake.
Hii Ni mbinu yake ya kuvuta biashara na JamiiForums inampigia debe bure ki kimyakimya kupitia uzi huu
 
Back
Top Bottom