Wadada mlioolewa na mnaotarajia kuolewa!

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Nawaomba mnapoingia kufundwa kwa kungwi, somo, mashangazi zenu na mlio na mama na bibi zenu muwe mnaingia na DIARY, NOTEBOOK, au hata KIDAFTARI mkariri yale mnayohusiwa na kufundishwa kuelekea NDOA!!

Ukimaliza yatunze hayo maandishi kule pamoja na vyeti vyako..kwa faida za baadae..kitakuaaidia sana..na kwa wale msiopata bahati ya kuwekwa ndani tafuteni mafunzo mbadala..mnakili pia!

Hivi how comes mwanamke umeolewa ndoa ina zaidi ya miaka miwili mitatu..unaamka saa tatu asubuhi unamkoromea housegorl.."yaani mpaka saa hizi hujaandaa chai mezani..baba naniliu ana njaa....umezubaa tu hapa""
mna matatizo gani???

Jikoni sasa unajua kabisa mume anapenda chakula chake kipikweje..unamtegea hg..we upo sebuleni kumsoma Mange Kimambi..ukisikia harufu kaunguza hata vitunguu unatoka mbio ka ng'ombe aliyechokozwa..."m*** mkubwa wewe..hauna macho hadi uunguze..ulikuwa wapi mboga ipo jikoni?
Hivi hamjiskii aibu??

Kesho tena unambwagia minguo yako ulovaa wiki nzima..mijinzi yako na mumeo..nguo za watoto..mashuka tena mengine yamegandia mautomvu yale meupe alomwaga mmeo wakati wa kupalilia ndoa..wengine boxer pia ..khaa!!!
sasa kabinti ka watu nako kadogo ka miaka 15 tu..umekatoa Kigoma hukoo kwenye mapori ya michikichi..hakajui hata bleach ndo nini...unamwambia dawa ya madoa hii..weka kwenye nguo kuondoa michuzi sawa!? kanajibu "sawa dada.."

Baadae kachukua nguo mchanganyiko zenye madoa ya michuzi mradi amalize mapema..kazi nyingi..kazitumbukiza huko kwenye beseni moja na bleach juu..sabuni ya unga...

Mashati meupe ya ofisini ya mumeo yamegeuka mashati ya batiki...blauz zako rangi nazo zote zimekuwa nyeupe..suruali za jinzi nyeupe.....si utamlaza hospital kwa kipigo lakini???

Kila siku nyumba makelele weee utadhani soko la wauza mitumba wananadi bei zao au sijui kuna mchungaji wa kilokole anahubiri....haiwez pita siku bila kusikika ukifoka..

Plz jirekebisheni...wengi huwa mnasahau mliyofundishwa kule..au kuyapuuza..hawa wadada mnaoletewa ni wa usaidizi tu..sio kubeba majukumu aslimia mia..

Dada wa kazi apige deko, aoshe vyombo..aende dukani au sokoni na kazi nyinginezo akisaidia tu..
chakula cha familia yako pika wewe mama mwenye nyumba yote yanayohusu mumeo ni jukumu lako.

Housegrl anaweza kukusaidia kufua mapazia..nguo zako au watoto..sio za mume wako.! labda kama u mgonjwa.

Ndo maana nawaambia tunzeni mnayofundishwa..baadhi mnakosea..mngeyarejea mkajistukia na kujirelebisha.

Ndoa na harusi ni vya siku moja..lakini hayo majukumu ni ya kila siku kwa miaka na miaka.

So usiolewe kwa sababu nyinginezo olewa sababu uko tayari kuishi kama mke ndani ya jamii...na uwe mfano wa kuigwa.

Nashukuru!!
 
Uwez kufundwa kwa siku moja ukawa fundi.

Mtoto wa kike anafundwa kila siku, Mimi binafsi Siwez lala mpaka saa 2 ni maisha niliyozoeshwa tangu mdogo saa 12 mtoto wa kike unapaswa kuamka kuweka mazingira sawa ya nyumban.

Binti wa form four anafuliwa nguo unategemea kesho akawe mama bora au Mwalim bora kwa familia yake kivipi?

Wamama tusilee watoto Kama vidonda wanaenda kutia aibu huko waendako.
 
umenifumbua macho mkuu,nitajitahidi nikiolewa nisijibweteke,lol...................................nimeipenda hii topic,wadada inawahusu sana huu ujumbe,i believe kila mtu akibeba majukumu yake vizuri nyumba itakua na Amani/peace and harmony,usiwe sababu mfanyakazi wako wa ndani awe ana simanzi,ndio maana wengine wamepindua nyumba za watu,ulimsema na kumsumbua,siku mumeo akimuonyesha kumpenda haachii nafasi ya kukukomoa,kama unaishi vyema na mdada wa nyumbani,atakuheshimu,atalea watoto wako vizuri,
 
kweli..lakini anashindwaje kubadili lifstyle yake anapoingia ndoani..??
 
Uwez kufundwa kwa siku moja ukawa fundi.

Mtoto wa kike anafundwa kila siku, Mimi binafsi Siwez lala mpaka saa 2 ni maisha niliyozoeshwa tangu mdogo saa 12 mtoto wa kike unapaswa kuamka kuweka mazingira sawa ya nyumban.

Binti wa form four anafuliwa nguo unategemea kesho akawe mama bora au Mwalim bora kwa familia yake kivipi?

Wamama tusilee watoto Kama vidonda wanaenda kutia aibu huko waendako.
Mkuu naweza pata nafasi kwako unafaa kua mama bora.
 
umenifumbua macho mkuu,nitajitahidi nikiolewa nisijibweteke,lol...................................nimeipenda hii topic,wadada inawahusu sana huu ujumbe,i believe kila mtu akibeba majukumu yake vizuri nyumba itakua na Amani/peace and harmony,usiwe sababu mfanyakazi wako wa ndani awe ana simanzi,ndio maana wengine wamepindua nyumba za watu,ulimsema na kumsumbua,siku mumeo akimuonyesha kumpenda haachii nafasi ya kukukomoa,kama unaishi vyema na mdada wa nyumbani,atakuheshimu,atalea watoto wako vizuri,
Rebby nakuja inbox haraka
 
Kazi za ndani kwa mtoto wa kike ni desturi toka alikotoka anapaswa kujituma toka alikotoka na sio vyakuweka Kwenye diary. Ukimuona mtu wa hivyo ni mvivu jua hata kwao alikuwa hivyohivyo
ni kweli..lakini anahitaj kubadilika aendane na mausha mapya alochagua...ni mke tena mama ..sio binti alie kwao
 
mume wangu kama asiponiuzi nitampa good time sana
kwanza hatokaa ale chakula cha ovyoovyo cha beki tatu
hatokaa afue hata leso yenyewe
hatokaa alale njaa hata arudi saa kumi usiku atakuta chakula fresh tena cha moto namlisha
sitokaa nimnyime papuchi
 
umenifumbua macho mkuu,nitajitahidi nikiolewa nisijibweteke,lol...................................nimeipenda hii topic,wadada inawahusu sana huu ujumbe,i believe kila mtu akibeba majukumu yake vizuri nyumba itakua na Amani/peace and harmony,usiwe sababu mfanyakazi wako wa ndani awe ana simanzi,ndio maana wengine wamepindua nyumba za watu,ulimsema na kumsumbua,siku mumeo akimuonyesha kumpenda haachii nafasi ya kukukomoa,kama unaishi vyema na mdada wa nyumbani,atakuheshimu,atalea watoto wako vizuri,
well said mdada...
 
mume wangu kama asiponiuzi nitampa good time sana
kwanza hatokaa ale chakula cha ovyoovyo cha beki tatu
hatokaa afue hata leso yenyewe
hatokaa alale njaa hata arudi saa kumi usiku atakuta chakula fresh tena cha moto namlisha
sitokaa nimnyime papuchi
Umesema mume wako asipokuuzi
Lakini je akikuuzi atakula chakula cha ovyo ovyo cha beki tatu atafua Huyo mpaka leso yenyewe atalala na njaa hatakula chakula fresh nakadhalika
 
Back
Top Bottom