Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
[emoji122][emoji122][emoji122]Mah
 
Me nilishampta jamaa mmoja humu jamani japo alinizidi umri lakini nilimpenda sana kutoka moyoni na nilikubaliana na yake mazuri hata mabaya pia na tulidumu kwa mda wa wiki tatu (3) alivyonikatia mawasiliano kama upepo unavyokuja na kupotea chap. Sitaki kuamini mpaka kesho ila ninaamini nitampta tu alie sahihi.
 
Nimempata ila sio kupitia Tangazo.. [emoji23][emoji23] ilitokea tu sumaku zilivutana..uwiiii..sijui nimuelezeaje ila NAMPENDA MNO..huyu ndie sahihi kwangu
 
Mrembi Aliyekosa au Badoglio anatafuta
The door is open
Let's make it happen
 
Wakuu kumekuwa na ongezeko kubwa la wadada wanatafuta wachumba humu JF, kama umewai kupata mwenza kupitia JF ..comment neno "ndio"

Je wapo waliopata kweli na wako ktk mausiano serious au ndo kupoteza mda?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…