Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Changamoto zilikuwepo coz ni ngumu kumjua yupi ni mkweli na yupi moyo umemkubali.... Ila thanks God kwa kunipa huyu mtu ni zaidi ya mpenzi kwangu, tumekua kama marafiki tukianza kuongea story haziishi ni mwanaume ambae ni muwazi sana... Kama binadamu mapungufu anayo lkn he is the best man ever anajua kupenda hadi hua nachanganyikiwa.....Abarikiwe alieianzisha jf
 
Rubi nilikuaga nakumendea ndio bas tena.
 
ume tililika vizur mpaka nikataman niwe huyo jamaaa ila hyo verse ya mwsho why umesema mtoto wa kwanza na sio wa milele lakn ww bint!!! yan mhusika sijuia ataumiaje kama mpita njia nimeumia hivii
 
ume tililika vizur mpaka nikataman niwe huyo jamaaa ila hyo verse ya mwsho why umesema mtoto wa kwanza na sio wa milele lakn ww bint!!! yan mhusika sijuia ataumiaje kama mpita njia nimeumia hivii


Atakua mtoto wangu wa kwanza na wa pekee Maishani mwangu
 
Dada hakuna nia mbaya, sema ukweli kuwa humu wapo waoaji na watumiaji tu.
 
mimi nimetafuta hadi nimechooka hata sitaki tena natafutia tu watu

Mkuu kutokana na posts nareply zako naweza sema unapitia mapito sawa na rafiki yangu mmoja mwenye elimu ya masters. Anafukiria kuolewa sana mpaka anakta tamaa.
Binafsi kuna kitu nimeki observe kwako. Kama unania ya kupata mtu humu utapata lakini sio mapema. Hii ni kutokana na michango yako inaoneka uko over experienced na relationship. Inawapa men threats sana ndani ya mahusiano na pia unaonekana well educated na independent saana. Unless uchange id kisha utoe tangazo. Pia jaribu kuwashirikisha viongozi wa imani wa kusaidie kuomba au hudhuria ktk maombi.
Anyway kila la kheri, hivi hiyo picha ni wewe?
 
sijui kwanini ila katika wengi waliopost hapa nimekuamini wewe tu
 
Mmmm hongera
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…