Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Kupiga umbea kwenye uzi wa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa sijaenda kwenye pantry ya kwenye basement kwa muda....

Leo nimeenda....ona kilichopo[emoji12]

20170517_175733.jpg
 
Pole sana aisee. Nilikuona umepewa ban nikabaki na mshangao tu. Walikwambia kosa lako ni lipi hata kupewa ban?


Ntajuaje shoga,yani nafungua kitu hakikubal,kucheki kumbe ban hahaha nlibaki kutumbua macho,nkaishia kutizama watu wanachopost lkn kureply siwez [emoji23],kuchunguza dahh kumbe wengi tumekula ban..nnawaswa mods mpya itakua kaletwa so alikua anafanya interview ya kuwapa watu ban [emoji50]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom