Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Uzi gani?Ila ukome maana umezidi.....[emoji125] [emoji1]Ha haa mbona nyie mmesalimika jamani? Nadhani wote kwenye ule uzi tusharudishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi gani?Ila ukome maana umezidi.....[emoji125] [emoji1]Ha haa mbona nyie mmesalimika jamani? Nadhani wote kwenye ule uzi tusharudishwa
[emoji23][emoji23][emoji23]ahaha kwani umbea tumeanza leo?
Tulibaka Uzi wawatu mwenzangu kwa kuingiza storywalifanya nini eti?
We acha tu my wii. Mpaka nikamsababishia kakako ban naeUzi gani?Ila ukome maana umezidi.....[emoji125] [emoji1]
uzi gani tena?acheni umbea nyie ahahaaaTulibaka Uzi wawatu mwenzangu kwa kuingiza story
Mlifanyaje kwani?We acha tu my wii. Mpaka nikamsababishia kakako ban nae
Mod wa jana inaelekea aliamka vibaya tu[emoji3]uzi gani tena?acheni umbea nyie ahahaaa
Ngoja Nyani Ngabu aje akwambie lolMlifanyaje kwani?
Ngoja Nyani Ngabu aje akwambie lolMlifanyaje kwani?
Huyo nina kesi naeNgoja Nyani Ngabu aje akwambie lol
Ha haa kwenye kesi hajiHuyo nina kesi nae
Unajua mods wa humu huwa ni wajinga sana?We acha tu[emoji28][emoji1]ban ya kustukia,ngoja ninyamaze nisije kula ban ingn[emoji87][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ha haa kwenye kesi haji
Nilikuwa sijaenda kwenye pantry ya kwenye basement kwa muda....Kupiga umbea kwenye uzi wa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ntajuaje shoga,yani nafungua kitu hakikubal,kucheki kumbe ban hahaha nlibaki kutumbua macho,nkaishia kutizama watu wanachopost lkn kureply siwez [emoji23],kuchunguza dahh kumbe wengi tumekula ban..nnawaswa mods mpya itakua kaletwa so alikua anafanya interview ya kuwapa watu ban [emoji50]
Hahaha[emoji23]kwanini ,ngojea wasome coment yako wakupe tulizo la ripUnajua mods wa humu huwa ni wajinga sana?
Hata sijui kwa kosa gani,kwani ban ikitolewa inakua ni siku moja tu??au inachukua mda ganiPole sana aisee. Nilikuona umepewa ban nikabaki na mshangao tu. Walikwambia kosa lako ni lipi hata kupewa ban?
Hahah muache ukorofi siku nyingine na karibuni uraiani..[emoji3] [emoji3] nimetokaaa kifungoni aisee central tulikua wengi balaa
Heshima yako mkuu, kimya sanaVigezo vya kawaida sema walioserious ndo sijaona so kama mwanamke usipowajulia wanaume wa humu unaishia pabaya, namshukuru Mungu nalitambua hilo