Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Wakuu kumekuwa na ongezeko kubwa la wadada wanatafuta wachumba humu JF, kama umewai kupata mwenza kupitia JF ..comment neno "ndio"
NDIO,nimepata bila hata kuweka tangazo,namshukur Mungu kwa hilo maan amenipa mume ,rafiki,kiongoz ,mshaur mzuri,tunashukur kwa ndoa na zawad ya mtoto aliyotupa na maisha yenye afya njema tuzid kumtumainia yeye
kwahiyo wanaotafuta kuna watu wapo serious kweli wasikatishwe tamaa na comments za watu,
Pia naishukur JF kwa aliyeianzisha maan imenipatia mume wa maisha yang,
 
Hallelujah hongera sana mama

Hv huu Uzi ni wa wanawake tu kumbe?nilitaka na mm nilete ushuhuda ila basi ngoja nikae nao mfukoni tu
 
Mpenzi.....

Tulikutana hapa na umeamua yaishie hapa

Najua utasoma hapa sweet heart

Yeahh ni wewe....I miss you so much

zile bedtime storiess na pillow talk nimemiss Pm zako hatujagombana huu uzi umefanya nikukumbuke sana

Siku ukirudi njoo na Passport yako tu uniambie unataka kwenda wapi popote nitakupeleka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom