Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

mbona fresh tu tena raha kutongozwa na mtu usiemjua wallah
Screenshot_20240824-190213_1.jpg

Weeeh
 
Introvert wapi Babu ... Hao Jamaa hawanaga ujasiri was kusimama mbele ya demu Wana aibu mbaya.
We CCM imekuharibu.
Introvert wapi Babu ... Hao Jamaa hawanaga ujasiri was kusimama mbele ya demu Wana aibu mbaya.
We CCM imekuharibu.
😂😂Ndio chadema walivyo waaminisha ukiwa introvert
ndio unashidwa kueleza hisia zako kwa mwanamke
 
Back
Top Bottom