Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

😅😅😅😅Bikra huwa inaisha tukitembea umbali mrefu 😜😜
Hahhahahaa hakuna kitu hapo 😂 saivi tunataka kitu sealed, zero kilometer.


Unajua shida nini ukioa mtumba, kuchapiwa ni kwingi mno.

Sawa mwanaume unaweza ukakaza siku kadhaa ukalifumbia macho ila one day lazima utajihoji, kuwa mke hukumkuta bikra je past yake ikoje? Why sijamkuta bikra why, But why, why¿¿¿¿
 
Back
Top Bottom