Wadada mnaoendesha magari na wenye kazi nzuri acheni kulinga mtazeeka mkiwa kwenu

Hivi akikuambia nilipie faini ya trafiki utalipa kweli?
Au aseme yupo gereji kapungukiwa elfu 50 ... inahitajika..utapokea simu au ndo utam block moja Kwa moja?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au anaambiwa leo sijatoka na gari..Nimechelewa sana kuingia kazini..
Haulizi kwa nini? Hapo anajua ataambiwa habari ya Wese..

Anakujibu tu..Pole kesho itabidi uwahi kutoka sasa...[emoji1]
 
Au aombwe hela ya saloon na mafuta na service ya gari ..Kwa mpigo...
Anakwambia Tu jumapili nahitaji kwenda saloon na gari pia lifanyiwe service kidogo...so dear please usiniangushe sitakuelewa..🤣 jamaa ata block namba na kurudi Kwa ma house girls na mabaa Medi taratibu 😅😅🤣🤣 isiwe kesi...
 
Hahaha kwani hao mabahamed na housegrl wana shida gani mbona wengine k zao mnato tena safi kabisa utasema kama ajawai tumiks
 
Au aombwe hela ya saloon na mafuta na service ya gari ..Kwa mpigo...
Anakwambia Tu jumapili nahitaji kwenda saloon na gari pia lifanyiwe service kidogo...so dear please usiniangushe sitakuelewa..[emoji1787] jamaa ata block namba na kurudi Kwa ma house girls na mabaa Medi taratibu [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] isiwe kesi...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au ghafla anaanza kuleta taarifa ya Msiba..
Nimefiwa na nani nani sijui...
Vitu haviko[emoji1]
 
Back
Top Bottom