Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
piga kimya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo muhimbili hapa Baba mdogo kazidiwa. 🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au ghafla anaanza kuleta taarifa ya Msiba..
Nimefiwa na nani nani sijui...
Vitu haviko[emoji1]
Tulia wewe mtoto wa kiume nenda nae taratibu pupa za nini ee nenda nae polepole Mambo mazuri hayataki haraka,Siku iliisha sikumcheki nikaja kumcheki akajibu vyema tu ila maringo mengi sana mpaka moto unakata ukimpigia simu apokei anapokea kwakuchelewa kisingizio nadrive sasa nimeamua kumpotezea kabisa naona ananiletea ujinga ni mkaguzi masaki tupo jiran tu na napofanya mimi kazi ila mwanamke wa maringo mengi hapana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tupo muhimbili hapa Baba mdogo kazidiwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NimekuulewaTulia wewe mtoto wa kiume nenda nae taratibu pupa za nini ee nenda nae polepole Mambo mazuri hayataki haraka,
Mwache awe anakutafuta yeye basi kwisha habari hao wanapenda kuendesha maisha yao hivyo hawawapendi attention seekers
You guguno tu muchhhh🤣🤣🤣Mko poa
Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe.
Aliniomba nimpelekee msalaba jioni kwao ana kaa na wazazi wake kwao wako na mapesa nje yapo magar 5 kuna nissani duals 2, kuna forester, kuna noah, ili moja silijui jina.
Nilimuomba namba maana wao ukienda piga hodi pale hawafungui wana kuzoom tu kwenye camera wana gorofa, akanipa mm nikampotezea nikasema siendi kwao mimi wiki nzima napita kwao kimya .
Jumamos ikafika nikadamka mapema sana nikawahi pale kwao mimi ndio nilikuwa wa kwaza nikafika pale nika pleas oh namba kumbe sikusev akawa analalamika oh just help kutafakari neno pleas na kusoma neno mara ya pili, nikamtoa hofu usijali gafla akaja mdada mwingine akaaa mbele yeyu akasema nitasoma somo mara ya pili ikawa imeisha.
Nikiwa pale tunasali nikawa najifanya nipo bise tumemaliza kusali ndio anza niambia una jua baba kaondoka na mam wapo moshi nikawa na msikiliza mwisho nikamuomba andika namb hapa nitakupigia tuongee vzr bado na usingizi .
Siku iliisha sikumcheki nikaja kumcheki akajibu vyema tu ila maringo mengi sana mpaka moto unakata ukimpigia simu apokei anapokea kwakuchelewa kisingizio nadrive sasa nimeamua kumpotezea kabisa naona ananiletea ujinga ni mkaguzi masaki tupo jiran tu na napofanya mimi kazi ila mwanamke wa maringo mengi hapana
ahaha dada niache bhna nahasira nae kwazaYou guguno tu muchhhh🤣🤣🤣
dio mimi uyoWewe ni mkurya??
Pole dogo,we mpate atakayekupenda kwanzaAh
ahaha dada niache bhna nahasira nae kwaza
Pole dogo,we mpate atakayekupenda kwanzaAh
ahaha dada niache bhna nahasira nae kwaza
Sijampata bhna bado 😂Pole dogo,we mpate atakayekupenda kwanza
Ibadani huwa hampendaniSijampata bhna bado 😂
Ahahah kwahiyo wapi wanapendana?Ibadani huwa hampendani
[emoji137][emoji137][emoji137]Nani kaona UHO?
Sawa mkuuNendanae taratibu.... inaonesha una short temper....tulia,nenda taratibu mkuu
Ndio mkuusasa mkuu uko kazini unafanya kazi na unalipwa mshahara kabisaa??