Dada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira.
Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira.
Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka, huyu atakuwa kabeba kitu cha maendeleo kichwani mwake kweli?
Usiku badala ya kuwaza/kuota maenedeleo anawaza/kuota timu fulani inacheza kesho, timu fulani imefungwa jana, n.k.
Fuatilia mwenyewe, wanaume wengi sana watafutaji wazuri wa maisha huwa hawana time na mambo ya mipira. Wako bize na mashughuli ya kuwaingizia vipato.
Hawa mashabiki wa mipira ni fucken kabisa.
N.B. Ambaye tayari "anazo" akishabikia mpira haina shida lkn siyo yule ambaye bado anatafuta.