Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

Kuna mashabiki maandazi yupo radhi hata aache kufanya kazi aende akaangalie mpira kwenye vibanda umiza.
Baadae akikosa pesa anaanza kulialia na mkewe akitafunwa ndio kabisa povu na kamasi kama yote.
Shabikia mpira kwa kiasi sio kujifanya kama vile ww ndio mmiliki wa timu.
Makofi tafadhali[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hapo kwenye fucken imenibidi nicheke tu mkuu🤣🤣🤣, sawa hata kama kuna ukweli basi ungewaeleza pole pole wangekuelewa tu
 
Mwanaume anayeshabikia mpira ananifaa kinyama
Ushabiki wa mpira na maendeleo ni ardhi na mbingu....hakuna koneksheni hapo

Mwanaume asiyefuatilia mpira naonaga kama mdada mwenzangu tu
Salute Mkuu.
 
Mtu anashinda vijiweni mara asafiri na tumu muda wa kutafuta hela anapata wapi?
Mm nina sehemu ya kurusha marangazo ya mipira na michezo mingine kama ngumi ila watu wanaonisumbua hata kulipa kiingilio au kunywa japo kinywaji ni Hawa mashabiki oya oya hela hawana kazi kelele tu
 
Hapa ndo unaweza kusema siku zote za mwenzio changanya na zako.
 
Kawanyoosha
Nafuatilia Mpira Kwa Afya lkn WAKUU wenzangu mmezidi. Hata Watoto watahisi watapata pensheni kwenye Mpira. Mpira ni upuuzi. Japo Nina timu naipenda Kwa kiasi. Haininyimi usingiz, na sijawahi kwenda kuitazama live zaid ya kutumia luninga na kishkwambi changu.
 
Conflict of interest.shida hapa kila anae tetea hasimami kwenye ukweli ila anatetea kile anafanya. Wengine wanatetea waume zao na wengine wanajutetea wao ila ukweli ni kuwa ushabiki wa mpira uliozidi lazima uwe maskini
 
Dada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira.

Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira.

Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka, huyu atakuwa kabeba kitu cha maendeleo kichwani mwake kweli?

Usiku badala ya kuwaza/kuota maenedeleo anawaza/kuota timu fulani inacheza kesho, timu fulani imefungwa jana, n.k.

Fuatilia mwenyewe, wanaume wengi sana watafutaji wazuri wa maisha huwa hawana time na mambo ya mipira. Wako bize na mashughuli ya kuwaingizia vipato.

Hawa mashabiki wa mipira ni fucken kabisa.

N.B. Ambaye tayari "anazo" akishabikia mpira haina shida lkn siyo yule ambaye bado anatafuta.
Hahaha
 
Conflict of interest.shida hapa kila anae tetea hasimami kwenye ukweli ila anatetea kile anafanya. Wengine wanatetea waume zao na wengine wanajutetea wao ila ukweli ni kuwa ushabiki wa mpira uliozidi lazima uwe maskini
 
Back
Top Bottom