MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Je sisi mashabiki wa riadha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana!Mwanaume anayeshabikia mpira ananifaa kinyama
Ushabiki wa mpira na maendeleo ni ardhi na mbingu....hakuna koneksheni hapo
Mwanaume asiyefuatilia mpira naonaga kama mdada mwenzangu tu
🤔 msipangiane cha kufuatilia ila asiyeshabikia mpira unamuona kama mdada mwenzako?Exactly,michezo ipo mingi...muhimu tusipangiane cha kufuatilia
Wanawake! wanawake! wanawake! sasa umepata mtu mcha mungu hanywi pombe means ana save pakubwa na hajitafutii madhara yatokanayo na ulevi .Mwanaume hashabikii MPIRA
Hanywi pombe [emoji849][emoji849][emoji849] huyo atakua na ugonjwa wa wanawake sitaki
🤔 msipangiane cha kufuatilia ila asiyeshabikia mpira unamuona kama mdada mwenzako?
Au mimi ndiyo sielewi kiswahili?
Mwezi wa 11 katafute pakunificha🤣🤣🤣🤣🤣Kutwa kubishana mamipira tu hawana topiki nyingine kwenye stori zao.
🤣🤣🤣🤣🤣 Atakuwa ana sasambua mbususu tuuMwanaume hashabikii MPIRA
Hanywi pombe [emoji849][emoji849][emoji849] huyo atakua na ugonjwa wa wanawake sitaki
Bond nzuri kinomaaaa.....wikend unatulia ndani ungalia tactical acumen ya bwana pep, mara unamuangalia spaletti, huku gasperini mara anceloti full burudani.World strongest bond is Men & football.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inahitaji kuhabikia kiasi. ni kweli wanatakiwa kuepuka wale ambao muda wote wanaongea mpira, wakifungwa wananuna na kukasirika, muda wote wamevaa mijezijezi, nk. Wanakuwa hawana akili sawasawa.
Ntaenda kumchukulia mafuta KWA MWAMPOSA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Atakuwa ana sasambua mbususu tuu
[emoji1787][emoji1787]mwanamke ni undefinable personWanawake! wanawake! wanawake! sasa umepata mtu mcha mungu hanywi pombe means ana save pakubwa na hajitafutii madhara yatokanayo na ulevi .
Hafuatilii mpira maana si hobby yake bado unamuhisi anachepuka? Means angekuwa analewa asingechepuka? [emoji23][emoji23][emoji23] duh!
Kumbe mnapenda wale wa kupigizana kelele anakunywa pombe afu anarudi saa 9 usiku kisingizio mpira unadhani atakuwa hajachepuka? [emoji23][emoji23] aisee bado nacheka tu hapa
Hongera kaka umesema kitu ambacho wachache sana tena sana sana watakuelewa ila hata mm hua nasema kama ulivyo sema yani mtu labda ni fundi ananunua sim kubwa kwaajili ya michezo halafu analipwa hela ndoooogo kwasababu hajui hata kusoma ramani wala tep inasikitisha sanaDada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira.
Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira.
Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka, huyu atakuwa kabeba kitu cha maendeleo kichwani mwake kweli?
Usiku badala ya kuwaza/kuota maenedeleo anawaza/kuota timu fulani inacheza kesho, timu fulani imefungwa jana, n.k.
Fuatilia mwenyewe, wanaume wengi sana watafutaji wazuri wa maisha huwa hawana time na mambo ya mipira. Wako bize na mashughuli ya kuwaingizia vipato.
Hawa mashabiki wa mipira ni fucken kabisa.
N.B. Ambaye tayari "anazo" akishabikia mpira haina shida lkn siyo yule ambaye bado anatafuta.
Kua mwanaume sio lazima ushabikie mpira pia hizo nguvu unazowekeza kwenye ushabiki ungewekeza sehem nyingine usingekua hapoMwanaume anayeshabikia mpira ananifaa kinyama
Ushabiki wa mpira na maendeleo ni ardhi na mbingu....hakuna koneksheni hapo
Mwanaume asiyefuatilia mpira naonaga kama mdada mwenzangu tu
Wanaume wote WA Ulaya ni mashabiki WA mpira. Mbowa wako poa.... Usikariri kama huna michezo unaoufurahia we kaa kwa kutuliaDada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira.
Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira.
Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka, huyu atakuwa kabeba kitu cha maendeleo kichwani mwake kweli?
Usiku badala ya kuwaza/kuota maenedeleo anawaza/kuota timu fulani inacheza kesho, timu fulani imefungwa jana, n.k.
Fuatilia mwenyewe, wanaume wengi sana watafutaji wazuri wa maisha huwa hawana time na mambo ya mipira. Wako bize na mashughuli ya kuwaingizia vipato.
Hawa mashabiki wa mipira ni fucken kabisa.
N.B. Ambaye tayari "anazo" akishabikia mpira haina shida lkn siyo yule ambaye bado anatafuta.
Sasa yeye hajashabikia bali alikua anatafuta bahati.Kuna mangi moja shabiki ya mpira ilipiga jackpot ya 1.2b, endelea kukalili maisha
Watu wanatofautiana kunamtu anashabikia kwa faida au kwa akili zake na kwa uhalisia yani mtu kwenye mpira anakua kwa 10% zilizobaki ni kwa mambo mengine sio hawa wanapishana hadi na mabosi zao kisa ushabikiMtoa mada utakuwa una mtindio wa ubongo sio bure.
Kwa taarifa yako, ushabiki wa mpira is one thing na maendeleo ya kimaisha is another thing, kwa hiyo hivi vitu viwili havina uhusiano hate kdgo.
Mwanaume mtafutaji Ni mtafutaji tu naye mzembe Ni mzembe tu.