mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 276
- 452
Makofi tafadhali[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kuna mashabiki maandazi yupo radhi hata aache kufanya kazi aende akaangalie mpira kwenye vibanda umiza.
Baadae akikosa pesa anaanza kulialia na mkewe akitafunwa ndio kabisa povu na kamasi kama yote.
Shabikia mpira kwa kiasi sio kujifanya kama vile ww ndio mmiliki wa timu.
Salute Mkuu.Mwanaume anayeshabikia mpira ananifaa kinyama
Ushabiki wa mpira na maendeleo ni ardhi na mbingu....hakuna koneksheni hapo
Mwanaume asiyefuatilia mpira naonaga kama mdada mwenzangu tu
Duu!Mwanaume anayeshabikia mpira ananifaa kinyama
Ushabiki wa mpira na maendeleo ni ardhi na mbingu....hakuna koneksheni hapo
Mwanaume asiyefuatilia mpira naonaga kama mdada mwenzangu tu
Manabii wenyewe wanapenda mbususu kuliko ata sie wa kawaidaNtaenda kumchukulia mafuta KWA MWAMPOSA [emoji1787]
I agree[emoji1787][emoji1787]mwanamke ni undefinable person
UshahidiJana nimekula milioni kumi na mbili kwa buku 5 .
Nafuatilia Mpira Kwa Afya lkn WAKUU wenzangu mmezidi. Hata Watoto watahisi watapata pensheni kwenye Mpira. Mpira ni upuuzi. Japo Nina timu naipenda Kwa kiasi. Haininyimi usingiz, na sijawahi kwenda kuitazama live zaid ya kutumia luninga na kishkwambi changu.Kawanyoosha
Aliekudanganya hao ni washabiki ni nani?Wasikubali kuolewa na watu km Mo dewji na GSM, maana ni mashabiki wa mpira
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
HahahaDada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira.
Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira.
Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka, huyu atakuwa kabeba kitu cha maendeleo kichwani mwake kweli?
Usiku badala ya kuwaza/kuota maenedeleo anawaza/kuota timu fulani inacheza kesho, timu fulani imefungwa jana, n.k.
Fuatilia mwenyewe, wanaume wengi sana watafutaji wazuri wa maisha huwa hawana time na mambo ya mipira. Wako bize na mashughuli ya kuwaingizia vipato.
Hawa mashabiki wa mipira ni fucken kabisa.
N.B. Ambaye tayari "anazo" akishabikia mpira haina shida lkn siyo yule ambaye bado anatafuta.
Conflict of interest.shida hapa kila anae tetea hasimami kwenye ukweli ila anatetea kile anafanya. Wengine wanatetea waume zao na wengine wanajutetea wao ila ukweli ni kuwa ushabiki wa mpira uliozidi lazima uwe maskini