NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Nimekuelewa mkuu, je hapo kabla amewahi kutumia mkorogo? (Kujichubua mwili?) nijibu then tuendelee kutokea hapo.
Asante, na pia nikitia hinaa kwenye mwili inaniwashaa wakati wa kuanza kukaukaa yani Kama nimetiwa pilipili View attachment 186732
hajawahi kujichubua kabisa wala mikorogo ye mwenyewe hapendi kabsa, hata hv vichunus hakuwah kuwa navyo hata kimoja!
Usiweke dawa hizi ni nywele asili za kiafrika wengine tunazipenda zikiwa natural. Wewe paka mafuta ya kawaida tu achana na huyo mzushi.
Ooh pole yake! Anyway mimi siyo daktari ila nitakujibu kulingana na uzoefu wangu kwenye hii beauty industry.
Mkuu,baadhi ya Salon ndani yake kunakitu kinaitwa Beauty Clinic,hichi kitengo kinausika na skin care treatments.
Sasa tafuta Spa au Salon yoyote ambayo wanafanya huduma hizo then mpeleke shemeji yangu...ukifika waambie wamfanyie Kati ya huduma hizi 3
1. Steamer body srub
2. Full facial steamer body scrub au
3. Sea salt steamer body scrub.
Mkuu,hizo ni bonge la skin treatments na atakuwa anaudhuria kufanya hiyo huduma kama vile hospital.
Anaweza kufanya mara 2 ndani ya mwezi mmoja au mara 3 ndani ya miezi miwili...inategemea ameathirika kiasi gani na ilo tatizo.
Mkuu mm nywele zangu ni laini na refu zilikuwa nzito bt kuna siku nilipata allegy sis wng akajua mba akaniweka dawa ya beutiful begin ss tokea siku hizo n mm nikawa naweka dawa japo kwa mwaka mara moja ila nywele zangu zimekatika sana mpk sina hamu nikawa natumia stimming ya mayonise ila ss nimebadili dawa natumia profective na stimming yke ika bdo Unakatika. Na kuhuc mafuta ni shida kwan nona allegy na mafuta yote hasa mazito nakuwa nawasha muda wote hivo natumia lotion ya profextive cjaona matunda yeyote. Naomba ushauri wko
ahsante japo nimeyatafuta sijayapatatumia mafuta ya t444z from uk
Mkuu vp kuhusu m2 ambaye kidogo ni kijana sema mvi zinamvizia kwa mbali unamshahuru afanyeje
Hakuna cha upula wala nini...sema tu hizo nywele zako hazijapata chakula kizuri zikashiba. Kuna treatment fulani nitakuelekeza na mafuta yake ya kupaka...within 3 month utakuwa na msitu wa nywele.
By the way kwa sasa unazilisha chakula gani? (Product)
Daah pole sana na kucha zako! Lakini kwanini zinakuwa laini na kukatika katika? Au hapo kabla ulikuwa unabandika kucha mfululizo? Hinna ya dukani (tube) ni mzuri,lakini si kwa kila mtu...tumia hinna ya asili kupaka kwenye kucha zako na am sure zitakuwa ngumu kama zamani. Ila kwa sasa kama utakuwa unaenda salon for hair basi jitahidi wakufanyie na manicure japo kwa mwezi mara mbili.
Hongera nimeona kiganja chako na kucha zako...mashalah mtoto unamkono mzuri balaaa...ha ha haaaa!!
Mpenzi tutajie hiyo treatment wenye hilo tatizo la kukatika nywele katikati tuko wengi.Mi nimeteseka mwaka karibu wa 12 now kila nikisema nizitunze nywele zikikua kiasi zinaanza kukatika katikati utasema nimenyolewa.Ht mm niliwaza ni upara
mari3mar...naomba unisome post No 199 na post No 200. Jaribu kutumia hizo product am sure zitakusaidia.