MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
- Thread starter
-
- #101
Hapana, mirija style haipendezi kwa nywele natural...inapendeza kwa nywele yenye dawaOk nashukuru...nadhani ndio hiyo mirija...nywele zinasimama hivi..nilivyosikia wanaweka watu wenye nywele natural
Hapana, mirija style haipendezi kwa nywele natural...inapendeza kwa nywele yenye dawa
Kwanza hongera kwa kuwa na ngozi kavu kichwani.
Pili tumia mafuta ya Organic Texture my way na Olive oil hair polisher.
Kwanza umewahi kubandika kucha before? hilo tatizo la kukatika katika limeanzia udogoni au ukubwani?
Hebu funguka kwanza then tutaendelea
Sawa mpenzi ile picha uliyoiona inaitwa straws hair style wanatumia hii mirija ya kawaida tu na wanachanganya na mafuta fulani ndiyo inatokea vila, lakini inapendeza zaidi nywele yako ikiwa na dawa (ume retouch)
Heaven on Earth ukuje huku hii sredi iwe sticky humu ili ndo iwe forum yetu ya urembo!
mamods si wametuchunia ombi letu!?
Ha ha aaa pale wapi? mimi napatikana hapa JF, ila kama utapenda kuifanya naweza nikakuelekeza salon mbili tatu hivi ambazo utapata hii huduma.
Kuhusu bei sijui ila hahisi inaweza kuanzia Tshs elfu 25 au 30 kila uifanyapo ndani ya miezi mitatu.
Ahsante sana!…uliza tu hilo swali lako na utajibiwaduh nimeipenda sana hii thread nakuja na swali langu ngoja nitafute
image ya hiyo hair style ambayo nataka kuiweka sa hivi then uje unishauri
ka inafaa ama vipi maana ka kuielezea hivi hivi sijui ka utanielewa mwaya
Salon kwetu wapi?…mbona sikuelewi mpenzi wangu?i mean pale saluni kwenu or??
well mi pm bs io hair clinic ndio inakuwaje na izo salun mbili tatu za mm kwenda.
Pole sana mpenzi wangu! kabla hatujaenda mbali, je umewahi kubandika kucha before?napenda sana kucha, natamani kufuga zirefuke kama za wasichana wenzangu, tatizo kucha zangu ni laini sana, nikijaribu kuzifuga huwa zinamenyeka na kukatika.
Je kuna treatment yoyote ya kucha inayoweza kunisaidia??
thank u in advance my love....
kuna style hii ya nywele I wana try.nywele zangu ni ndefu na zina dawa pia
we unajua ni sehem gani wanaifanya poa na nyele zikiwa ndefu haina shida
sijui ka utaielewa hapo siijui jina lake mwaya
View attachment 124421
Hiyo mirija ya kawaida ni kwa nywele fupi na hata bei ya huduma yake siyo kubwa sana.kuna style hii ya nywele I wana try.nywele zangu ni ndefu na zina dawa pia
we unajua ni sehem gani wanaifanya poa na nyele zikiwa ndefu haina shida
sijui ka utaielewa hapo siijui jina lake mwaya
View attachment 124421
Pole sana mpenzi wangu!…kabla hatujaenda mbali, je umewahi kubandika kucha before?
Ha ha haa nilihisi tu...maana wadada au wamama waliowengi ukiona au kumsikia anasema kucha zake zina matatizo basi uje alikuwa anaweka au bado anaweka sana hand tips. Ukiweka hand tips mara kwa mara ni lazima kucha zako zipate mushkeri.umejuaje? napenda sn kubandika kucha, hata sshv nimebandika, hii nikwakua hata nikiziacha hazikui wkt napenda kuwa mrembo
Hiyo mirija ya kawaida ni kwa nywele fupi na hata bei ya huduma yake siyo kubwa sana.
Na hizo bomba ndefu zenye color na size tofauti ni za kisasa,mzuri kwa nywele ndefu na fupi ila bei ya huduma yake hiko juu kidogo...lakini zote zinaitwa mirija style