Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

Invisible au Mods yoyote kwenye jukwaa hili…naomba kwa heshima na tahadhima post No 50 ningewaomba muipandishe hapo juu kabisa kwenye post No 1, ili wasomaji au wachangiaji waone au wajue ni kitu gani cha kuuliza au kutoa maoni

Ahsanteni

cc Invisible and Moderator
 
Last edited by a moderator:
Nitumie dawa gani ya nywele ili nywele zangu ziwe na afya na za kuvutia? Maana nywele zangu ni nyepesi sana nilishauriwa kutumia blow out relaxer bt till now nywele zangu ni kituko huku kichwani ni aibu sasa naomba ushauri nitumie dawa ip nzur pamoja na steaming ili namim nijidai na nywele zangu kuliko kuishia kwenye kusuka na kushonea wivings
 

S.H amon sitaki hata kupasikia best, waliniuzia vipodozi acha nitoke chunusi, alafu ilikua karibia na harusi yng, aaaah... lbd merryrose nijaribu hy product yao ya kucha ... shukrani sn mtu wng
 
Pole sana mpenzi!...before umewahi kutumia dawa ipi na ipi? Na kwa mara ya mwisho hapa karibuni umeritouch dawa gani?
Nafikiri tuanzie kwanza hapo
 
S.H amon sitaki hata kupasikia best, waliniuzia vipodozi acha nitoke chunusi, alafu ilikua karibia na harusi yng, aaaah... lbd merryrose nijaribu hy product yao ya kucha ... shukrani sn mtu wng
Pamoja sana...ila zingatia kuzipumzisha kucha zako kwanza(usibandike) na uzifanyie treatment ya manicure & pedicure
 
bei gani for me I can do it........ela matumizi yake nini!!!!!ndo mambo ka hayo

ka sina sina ka ninayo urembo muhim my dia.......

na kule millionhairs wanaifanya hii ka hamna nitajie saloon inayofanya hii kitu fresh
Ha ha haaa! umenifurahisha sana...you mean tumia pesa ikuzoee si ndiyo maana yake?

Any way ukienda Uzuri Salon,Abisinah Salon,American Nails salon, Sally Salon na Million Hairs Salon utapata hiyo huduma.
Ukifanya kwa mirija ya kawaida bei yake inaanzia elfu 30 na ukifanya kwa hizo bomba za kisasa bei yake inaanzia elfu 50
 

asante my dia nataka kuchange my hairstyle kwa muda........nimechoka kubana........

sio ghali kihivo.........I will manage tu...asante million hairs iko mikocheni...........maeneo gani hasaa
 
asante my dia nataka kuchange my hairstyle kwa muda........nimechoka kubana........

sio ghali kihivo.........I will manage tu...asante million hairs iko mikocheni...........maeneo gani hasaa

Million Hairs Salon ipo Mikocheni kwa Mwalimu Nyerere,Old bagamoyo road(sasahivi Mwai Kibaki road) kama unatokea Shopperz Plaza kuelekea kituo cha basi cha Mwalimu Nyerere kuelekea Kawe, ipo upande wako wa kulia ni jengo la tatu kutoka Regency Park Hotel...kwenye building hiyo ndipo inapopatikana Million Hairs Salon
 

Shosti jaribu kutumia mega growth na steaming yake...
me mwenyewe nina nywele nyepesi nikajaribu kuzifuga natural but zikawa hazirefuki...nikaambiwa niweke blow out but ikagoma yani kama hazina dawa vile...
now natumia mega ndo walau na mie naweza kusema nina nywele...na wewe jaribu...
 
Akina baba msije mkafikiri hayawahusu haya!
Ushauri mwingi humu maana yake gharama fualni. Tujiandae kwa hayo.
 
ukija unambie dawa ya kuondoa madoa na makovu mwilini.
ile ambayo haina kemikali tafadhari..nina ngozi veery sensitive

Mrembo use foreve living product no chemicals
From Alovera

Inaitwa Forever Epiblanc
 
ntaomba nikupm badae kuhusu makovu ya utotoni..lakini ya chunusi nimetumia bithaa ya oriflame ina content ya teatree imenisaidia sana..haina chemicals na ni for sensitive skin

Yes
Oriflame pia wapo vzr
No chemical
 
Millionair

Ninaweka olive oil kwa muda mrefu na wala nywele zangu hazijawahi pata tatizo.
Hazijui steaming wala mafuta special mi natumua yyt na nywele zangu ni nzuri. ...nyingi, nzito, ngumu bt nina mba pia.

Ss mi nikabadirisha dawa from olive oil ile ya zamani (sshiv kuna mpya nyingi tu) to hizo mpya.
Nikaweka mpya! 2tyms
Kilichotokea ni nywele kukatika sana tu....na.mbaya zaid zilikatika sn nyuma tu ,kilichonishangaza zaidi hiyo sehemu zilipokatika nikiweka dawa niki retouch haishiki kabisa.
Nikaamua kurudi kwenye dawa yangu yaani olive oil ile ya zamani bt bado naona kuna tatizo japo c sana......bt ht hivyo hyo olive oil ya zamani nimeambiwa ndo inaishia na kweli kuipata imekuwa tabu zilizopo available ni hizi mpya.

Msaada plz

Ss tabu ndo ipo hapa kila.mtu ananishauri nihame
Swali nitahamia dawa ipi?
 

asante kwa fursa nzuri,mm ni mdau wa maswala ya urembo hasa wa nywele,na naweza sema ninazo ndefu si haba.nami nataka kujua zaidi kuhusu hiyo mirija naipenda sana.ila nipo moshi na sjui wapi wanaweza niweka hiyo,yan ungeweza kuelezea hapa jinsi inavowekwa hatua kwa hatua huenda wenye salon zao wajasiriamali wajifunze ingependeza,au mm pia nikielewa naweza mwelewesha mtu wangu wa salon ili aniweke.ntafurahi sanaaaa ukinijibu
 
Hebu elezea zaidi kuhusu hiyo curl na permanent curl,weka na picha kama unazo,maana naona kuna mdau kauliza kuhusu kalikiti ukamwambia ni old fashion wakti mm nilidhani kalikiti ndo hiyo hiyo curl,fafanua tafadhali
 

Pole sana! Hata hivyo sielewi kwa nini ulibadilisha hiyo dawa yako iliyozoea kwenye nywele yako na ukahamia nyingine.
Nikiri ni kweli kuhama hama au kubadilisha badilisha dawa ya nywele inaweza kukuletea matatizo sometime.

Sasa basi, najua uliachana na olive oil ya zamani na ukahamia kwenye olive miracle ambayo ni mpya.
Sasa ushauri wangu kwako nakusihi urudi kwenye dawa yako uliyoizoea OLIVE OIL kwani bado zinapatikana madukani.

Note: Ili kurudisha na kurutubisha nywele zako zirudi katika Hali ya kawaida kama zamani make sure kila unaporitouch
Unazifanyia nywele zako hair treatment...na usisuke rasta wala kushonea weaving kwa takribani miezi 3.

Hapa chini nakuwekea picha ya treatment ya groganics kit na reluxer za olive oil mpya na ya zamani.
 

Attachments

  • image.jpg
    655.8 KB · Views: 582
  • image.jpg
    666.7 KB · Views: 779
Hebu elezea zaidi kuhusu hiyo curl na permanent curl,weka na picha kama unazo,maana naona kuna mdau kauliza kuhusu kalikiti ukamwambia ni old fashion wakti mm nilidhani kalikiti ndo hiyo hiyo curl,fafanua tafadhali

Ni kweli curlkiti ni old fashion ingawa kuna baadhi ya salon za uswahilini bado zinatumika kwa vile ni ya bei nafuu sana.
Sasa hivi kuna kitu inaitwa Wave Nivoo...hii ni permanent curl na bei yake kimanunuzi iko juu na huduma yake kwenye
masalon nayo iko juu. Lakini usijidanganye kama unaweza kujifanyia hiyo service wewe mwenyewe ukiwa nyumbani Noo!

Kwanza package yake au kit yake zinakaa pc 5 hadi 6 na zinawekwa na wataalam wa salon waliobobea na inakuchukuwa
masaa mawili hadi matatu kukamilisha zoezi zima...picha yake ni hiyo hapo chini.
 

Attachments

  • image.jpg
    345.8 KB · Views: 574
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…