MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
- Thread starter
-
- #161
Hebu uliza kama ana shilaki........shogangu nitakupa ofa ya kitu cha shilaki.......mbona watakutangazaaa.......
Andaa mpenzi wangu
Asante lov
Kweli ckuwa na sbb yoyote ya kubadirisha nilijickia tu...
Mpenz kweli hyo ya zamani kuipata ni kazi sshv nimezunguka hadi huko kko hakuna nao pia wameniambia ni kweli zinaishia zinakuja mpya tu
Niliyonayo nimeinunua zanzibar ndo nilikoipata
Na ktk hyo pic hakuna ya zamani hapo zote mpya hizo ndo zilizoharibu my hair
ngoja nifike hom nikupigie pic ya zamani uione..
Nashukuru pia kwa hizo treatment
Hlf nyie wadada mambo yenu ya kuitana mpenzi,darling,dear mmetoa wapi maana nashindwa kuelewa..
Daah! kama hiyo picha hapo juu ni yako basi nakupa hongera sana kwa kipindi hicho maana marshallah mtoto ulikuwa na nywele mzuri na ndefu pia. Ooh sorry kwa kupoteza unywele kama huo. Sasa umefikiria kutumia dawa gani tena?
Ila mimi nakusisitiza tena jitahidi kufanya liv in treatment kila uendapo salon am sure hiyo nywele itarudi tu.
View attachment 178181View attachment 178182Hayo ni mambo ya beauty clinic na skin care treatments.
😛icha kwa hisani ya Million Hairs Salon:
Duh napenda ila c.kubandika...
Btw zimependeza sn hizo kucha.
Naweza fanya kwa kucha zangu hyo rangi?
duh imependeza kwakweli
Pia nina swali. ..
Kucha zangu zilikuwa ngumu...bt niliwahi paka hina ya dukani ile ya tube since there zikawa laini yaaani zinakatika sio ngumu km mwanzo tena nifanyeje zirudi hali yake?
Duh napenda ila c.kubandika...
Btw zimependeza sn hizo kucha.
Naweza fanya kwa kucha zangu hyo rangi?
duh imependeza kwakweli
Pia nina swali. ..
Kucha zangu zilikuwa ngumu...bt niliwahi paka hina ya dukani ile ya tube since there zikawa laini yaaani zinakatika sio ngumu km mwanzo tena nifanyeje zirudi hali yake?
MillionHairs shukrani kwa kujitolea kutusaidia! Nina swali naomba nifahamishwe kama inawezekana kufanya straws kwa nywele ambazo hazina dawa lakini ni laini kiasili bila kutokea kukatika kwa nywele, nimeona wengi wanaofanya straws wana nywele zenye dawa na zinakaa vizuri kweli.
Nashukuru sana in advance
Nisaidie nipake mafuta gani kwenye nywele laini za asili na sijatia dawa yoyote,
Hlf nyie wadada mambo yenu ya kuitana mpenzi,darling,dear mmetoa wapi maana nashindwa kuelewa..
Kwa wale wenye matatizo ya nywele nawaombeni mujaribu kutumia mafuta haya hapo juu.
Kama kuna swali lolote naomba niulizwe tu
Mkuu haya mafuta nimesikia yana bei sana sisi walalahoi je tutumie mafuta gani?mimi nywele zangu hazina dawa ila ni nyepesi na kavu yaani nikipaka mafuta kesho yake nakuwa kama sijapaka mafuta wiki nzima halafu huwa zinakatika sana mbele.
hata mimi huwa inanishangaza hii wameitoa wapi maana hata kwa obama tulipozoea kukopi sidhani kama ipo!
Ahsante, haya mafuta ni ya nywele ila mafuta haya ni maalumu kwa kupaka chini ya ngozi kwa wale watu ambao nywele zimekatika au zimenyonyoka kutokana na areji fulani fulani ili kuotesha nywele zake asili na siyo mafuta ya kupaka juu ya nywele zako za asili au kwenye weaving yako.
Kuhusu bei mbona mimi naona ni reasonable price tu bei yake inaanzia elfu 50 hadi 60. inategemea utayanunuwa wapi.
Ok sikuelewa nilijua ni ya kupaka kwenye nywele,Mimi ninataka mafuta mazuri kwa nywele za asili pamoja na steaming nywele zangu ni kama nilivyokueleza au msaada unatoa kwa nywele zenye dawa tu?