Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

uzi gani huo mwamba? humu si hairuhusiwi kutuma picha binafsi au me ndo npo kijiji gan?
 
hahahahaha

Eti vinyau acha viliwe
 
Hao wanaojitongozesha mimi mbona sijawahi kukutana nao?
 
Inazidi kunyesha tu, lazima matobo yaonekane. Ukiombwa kama unacho wewe toa tu, kama huna basi tena. Kama haridhiki na kidogo acha kumpa.
Hivi nikikuomba unitoe dinner nitakuwa nimekupiga mzinga?🫣🫣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…