Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wanakuaga na mizinga mirefu afadhali anaeomba buku mbili
kuna mmoja aliniazima elfu 30 nkampaa aisee geto hataki kuja kazi kujiongelesha tu ooh sijui im honest to my boy sijui nyoko nyoko nkampotezea siku kama mbili hapo hata kumeet hataki kakasema labda tukutane m.city nkatoka nako nkakanunulia vitu kadhaa kama 70k hivi... aiseee tunarudi nkawambie akapajue nnapoishi aligoma kata kataaa kesho asubuhi naona msg et1 sorry nina shida ya 50k...mmkee kama nlijibuu sasa. πŸ˜€ πŸ˜€
 
Dah kumbe tupo wengi tunaipigwa mizinga na huyu demu wa Dodoma......Najuta sana kumpa namba yangu ya simu.....ila ni katamu balaa
 
Wanawake wengi ckuiz wamekuwa omba omba Hadi kero.Yaani unakutana na mdada siku ya kwanza tu hata hamjazoeana vizuri yeye ashaanza kukupiga mizinga.
 
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Naz naomba uguse na wale wanaume wapiga mizinga

Oooh ni assist na laki 2 hornet kuna deal nafanya nakurudishia siku mbili hizi hizi

[emoji706][emoji706]

Hmmh kumbe mimi bado naishi zama za mawe, sikuizi raia wanaomba 200k kama njugu na wanapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…