Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Huyu mjinga anataka akisema tu Nitumie 200,000 niwe namtumia. Nikimwambia sina anasema mimi mbahili. Na anafanya kazi anaishi mwenyewe. Hii mianamke ya hivi imekaa kwa style ya kujiuza tu.
Screenshot_2023-01-11-07-34-08-306_com.whatsapp~2.jpg
 
Miaka ya nyuma mpaka mwaka Jana mlikuwa mnatudanganya Uanaume ni Kuhonga. Mi nlihonga sana.... Mwaka huu sijahonga na Jana nikapata sehemu ya kupiga game.

Nikashangaa bado uume unasimama kwa nguvu tu na nimepiga show ya ukweli hasa. Nikagundua mlikuwa mnanidanganya bure miaka yote hiyo. Kumbe hata bila kuhonga nabaki mwanaume.
 
Back
Top Bottom