Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Nikiwa narudi nitapita pale shoppers nikuletee chocolate, najua hakutakuwa na kesi tena.

Baba ukimjua mwanaπŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa baba atafanya makosa kila siku yale ya makusudi, utamuagiza kalamu za kuchorea atajifanya amesahau, baada ya week analeta box zima na choco, case solved..!!
 
Jamani Naz naomba uguse na wale wanaume wapiga mizinga

Oooh ni assist na laki 2 hornet kuna deal nafanya nakurudishia siku mbili hizi hizi

[emoji706][emoji706]
[emoji23][emoji174]
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Kati ya Mac Alpho na Imethibitishwa T94X581 unampenda nani?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
baba yangu kipenzi Mac Alpho ni wa thamani mno, I wouldn't trade him for anything walaqhi', and I mean it..!!
 
Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.[emoji23]

Baada ya hii comment yako, hatimaye picha imekuja kwa mbaaali
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa baba atafanya makosa kila siku yale ya makusudi, utamuagiza kalamu za kuchorea atajifanya amesahau, baada ya week analeta box zima na choco, case solved..!!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Kati ya Mac Alpho na Imethibitishwa T94X581 unampenda nani?
Kwa imethibitishwa utakaweza kweli haka kabinti? Carleen

Yatakayo kukuta hayatakuwa tofauti sana na ile storyline ya wimbo wa Alikiba Ft Christian Bella πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Wakiwa na ID Za kike[emoji28][emoji28]

Wanaume Kazi mnayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nimeshawahi ifanya mwaka 2011 nili createa I'D nikawa najiita rola nilikuwa natumiwa sanaaaa namba za vocha pm nilikuwa na nyodo balaa na wajinga wakawa wanashoboka. Invisible akai emerge

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom