masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Yaani wewe saizi yangu, tuanzishe chama, one on one!Sasa unateseka nini? Wengine shamba lao ni mifuko ya watu.
Na hicho chama chenye wanawake 2 na wanaume zaidi ya 10, kitakuwa batili, refer 2022 sensa ya watu na makazi.
Hakuna kitu tamu kama kupokea hela ya mpenzi ambayo hujaiomba. Hata kama ni buku.Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Moto juu ya moto, sugu moto chiniNimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.[emoji23]
Laana kwa taifaHakuna kitu tamu kama kupokea hela ya mpenzi ambayo hujaiomba.Hata kama ni buku.
Umatonya is a disgrace.
Mkuu kama tabia ya omba omba ipo haijalishi ni receptionist au MD bado utaomba tu.Huyu kama sio receptionist sijui
Hiyo sentensi yako ya chin yafaa ichapishwe then ifanyiwe LaminationUanaume sio umbo, ni matendo. Ukiombwa hela inbox au PM usitangaze. Binafsi sina hulka ya kuomba hela na kama yupo ambaye nimewahi kumuomba hela aweke screenshot nitamrudishia mara tatu.
Wanawake ombaomba hapa kweli wapo, wasemeni kwa upole na wala msiwaseme kwenye vikao vyenu vya kahawa.
NB:-
Wadada wote ombaomba, komeni mara moja
Nadhani kwa post hizi wale ambao walianzisha hii tabia wataacha, muhimu ni kuelelezana kwa upendo, watu wawajibike, hakuna vya bure duniani kwa sasa. Lakini kama ni rafiki ameomba na sio tabia yake kuomba hovyo, ukiwa nacho unampa tu!Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Numbisa nakukubali sana we Bi Dada nakumbuka Kuna siku kwenye jukwaa la Sports kuna mshikaji alikuambia unatumia mtandao gani ili akutumie vocha uwe unatutumia gif wewe ukamjibu vizuri tena pale pale.Duh aiseee so kosa ni kukwambia utaje ID ama? tatizo mnapenda sifa sana kutwa kukurupuka wadada wa JF hivi mara vile. Saa nyingine mkianzisha hizi mada mnakua na lengo lenu kujishaua kuwa hamuombi ombi wakati nanyi ni wale wale
niunganishe na huyo dada wa dodomaJana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana
The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.
Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.
Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.
Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.
Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi. Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.
Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.
Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.
2023 tubadilikeni jamani
Numbisa nakukubali sana we Bi Dada nakumbuka Kuna siku kwenye jukwaa la Sports kuna mshikaji alikuambia unatumia mtandao gani ili akutumie vocha uwe unatutumia gif wewe ukamjibu vizuri tena pale pale. Lakini angekuwa huyo Dada wa Dodoma sijui ingekuwaje
haa haaa, mie mzeeYaani wewe saizi yangu, tuanzishe chama, one on one!
PM siingii mie ujue π€£π€£Shamba lao mifuko ya watu hivyo wanafanya uvunaji wa haki kweli?
Naomba nifike PM kukujulia Hali,natanguliza shukrani π
Lakini yule mwana ni Mshua sana ungepata vocha y 10k ujueHumu ili uishi kwa amani inabidi uwe anonymous daima. Maana hela ina mazoea mabovu mtu akikubali ofa ya kwanza,ya pili na ya tatu haitamuacha salama mwisho wa siku anageuka muomba assists hata pasipo na ulazima
Kama nawaona wanavyokufyonya...Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.
Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.
Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.
Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.
Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.
Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.
Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.
Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.
2023 tubadilikeni jamani
Lakini yule mwana ni Mshua sana ungepata vocha y 10k ujue