Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Hakuna kitu tamu kama kupokea hela ya mpenzi ambayo hujaiomba. Hata kama ni buku.

Umatonya is a disgrace.
 
Uanaume sio umbo, ni matendo. Ukiombwa hela inbox au PM usitangaze. Binafsi sina hulka ya kuomba hela na kama yupo ambaye nimewahi kumuomba hela aweke screenshot nitamrudishia mara tatu.

Wanawake ombaomba hapa kweli wapo, wasemeni kwa upole na wala msiwaseme kwenye vikao vyenu vya kahawa.

NB:-

Wadada wote ombaomba, komeni mara moja
 
Siungi tabia ya OmbaOmba inafedhehesha sana!

Ila nyie kikundi chenu ni wanafki tupu. Mnakutana kukaribisha mwaka kwa
kusema watu? yote mliojadili umeona hili ndio la muhimu kulileta huku?

Small mind discuss people!

Acheni maboya wapigwe hela Pm huko hakuna mbususu ya bure hata mimi nikitaka lazima nitoboke!
 
Uanaume sio umbo, ni matendo. Ukiombwa hela inbox au PM usitangaze. Binafsi sina hulka ya kuomba hela na kama yupo ambaye nimewahi kumuomba hela aweke screenshot nitamrudishia mara tatu.

Wanawake ombaomba hapa kweli wapo, wasemeni kwa upole na wala msiwaseme kwenye vikao vyenu vya kahawa.

NB:-

Wadada wote ombaomba, komeni mara moja
Hiyo sentensi yako ya chin yafaa ichapishwe then ifanyiwe Lamination
 
Wewe humtaki kweli huyo bwana anae muonga kweli?

Kwa upande mwingine hao wanao toa pesa zao wajinga una anzaje kumpa mwanamke pesa hilihali yeye amekugeuza danga lake acheni ubwege ninyi midume ya ovyo na mtatapeliwa sana ukipigwa mzinga usilalamike umeyataka mwenyewe

Mwanamke akutongoze na bado umuonge sifanyi uho ujinga nitakuonga kama mimi ndio nimekutongoza napo kwa umakini sana maana mimi pia nina mizinga ya kutisha
 
Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Nadhani kwa post hizi wale ambao walianzisha hii tabia wataacha, muhimu ni kuelelezana kwa upendo, watu wawajibike, hakuna vya bure duniani kwa sasa. Lakini kama ni rafiki ameomba na sio tabia yake kuomba hovyo, ukiwa nacho unampa tu!
 
Duh aiseee so kosa ni kukwambia utaje ID ama? tatizo mnapenda sifa sana kutwa kukurupuka wadada wa JF hivi mara vile. Saa nyingine mkianzisha hizi mada mnakua na lengo lenu kujishaua kuwa hamuombi ombi wakati nanyi ni wale wale
Numbisa nakukubali sana we Bi Dada nakumbuka Kuna siku kwenye jukwaa la Sports kuna mshikaji alikuambia unatumia mtandao gani ili akutumie vocha uwe unatutumia gif wewe ukamjibu vizuri tena pale pale.

Lakini angekuwa huyo Dada wa Dodoma sijui ingekuwaje
 
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana
The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.

Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.

Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.

Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.

Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi. Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.

Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.

Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.

2023 tubadilikeni jamani
niunganishe na huyo dada wa dodoma
 
Humu ili uishi kwa amani inabidi uwe anonymous daima. Maana hela ina mazoea mabovu mtu akikubali ofa ya kwanza,ya pili na ya tatu haitamuacha salama mwisho wa siku anageuka muomba assists hata pasipo na ulazima
Numbisa nakukubali sana we Bi Dada nakumbuka Kuna siku kwenye jukwaa la Sports kuna mshikaji alikuambia unatumia mtandao gani ili akutumie vocha uwe unatutumia gif wewe ukamjibu vizuri tena pale pale. Lakini angekuwa huyo Dada wa Dodoma sijui ingekuwaje
 
Suala la Vizinga kwa Ke wengi limechangiwa na Michezo yao ya Vikoba. Na Wakati mwingine kupenda kuishi maisha ya Show Off hata kama mtu ana kipato Cha Chini.

Ke anapiga Vizinga ili Lunch akale Ramada hotel Wakati uwezo wake ni kula Shishi Food.

Mizinga imekuwa Mingi hadi Wanaume tunapoteza nguvu za Kiume 😢

Mnaweza kukuta mnapoteza watu wa muhimu kwenye maisha yenu kwa kuendekeza njaa isiyoisha 🏃🏃
 
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.

Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.

Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.

Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.

Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.

Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.

Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.

Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.

2023 tubadilikeni jamani
Kama nawaona wanavyokufyonya...
 
Back
Top Bottom