Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Ni sawa wadada si wana hati miliki na pesa za mwanaume maana wanaona ni zao
 
Yaani hii tabia inajenga uraibu. Ni ya kukemewa kwa nguvu zote. Tunajenga kizazi gani sijui. Wengine wameolewa lakini kutwa vizinga. Ridhika na ulicho nacho, kuombaomba hakujawahi kumuacha mtu salama.
Kuomba omba kunamfanya mtu awe rahisi hata kurubuniwa, unatengeneza mazingira ya kuwa mtumwa kwa unaowaomba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…