Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Ila nchi yenyewe omba omba unategemea wananchi tuweje! Mtupe tu hizo hela😂
Nataka nikuhonge bila kunipiga mizinga nitumie PM namba yako 😆
Halafu Mimi hata sitangazi wala sianzishi uzi humu JF
 
Mbona mimi huko PM nachat nao na mpaka wengine whatsup number zao ninazo, watatu tumeshawhi kukutana for some discussions. Nilitegemea niombwe na nilikuwa nipo tayari kutoa pesa sikuombwa.
We ulibahatika kukutana na warembo wasio na njaa na wenye stamala (kujishikilia au haya na kujiheshimu)
 
😂 sasa ntaaminije bila kuona, niaminishe
Yani wewe shida yako ni unidhalilishe na hii screen yangu.haya hiyo hapo.
F0E8416F-86A5-460E-A4CC-7890ACCC4689.jpeg
 
Aisee kumbe na ndani ulimuweka 😍😍basi ulimpenda sana huyo dada ni vile alikuwa hajakomaa kiakili Maskini ya Mungu.

Ninaiman huko alipo atakuwa anakukumbuka vilivyo.
Nae Alivuka mipaka mpka kufikia kumchafua mamamkwe mhhh..

Aise.hii comment yako imenionesha kuwa una upendo + ubinadamu
Mungu akutunze mjomba😊

Amina kubwa kubwa
 
Aisee kumbe na ndani ulimuweka 😍😍basi ulimpenda sana huyo dada ni vile alikuwa hajakomaa kiakili Maskini ya Mungu.

Ninaiman huko alipo atakuwa anakukumbuka vilivyo.
Nae Alivuka mipaka mpka kufikia kumchafua mamamkwe mhhh..

Aise.hii comment yako imenionesha kuwa una upendo + ubinadamu
Mungu akutunze mjomba😊
Kuna siku nilikutana nae kwenye msiba wa mke wa rafiki yangu, walisoma wote pia CBE. Alikuwa amejichubua hadi kawa mwekundu machoni.

Alikuwa kashika chupa ya K Vant mkononi, anaonekana she's living to the fullest. Yaani analewa kadiri atakavyo, na atakuwa anatumika sana.

Nilimsahau, nikasikia mtu ananiongelesha kwa sauti ninayoifahamu, ilinichukua sekunde kadhaa kuvuta picha yake ya zamani na hii ya sasa. Akani hug, akawa ananitambulisha kwa wenzie, aibu naona mimi. Huyu alikuwa mume wangu, kanitompa wee akaniacha eti kisa nimemwita mama yake mchawi.
Hebu fikiria maneno hayo anaongea kwa makelele mbele ya watu msibani
 
Tatizo huyo kijana ananisumbua sana "nampenda coca nampenda coca mara katoto keupe sijui Nini,ndio namsaidia kukuelezea ili moyo wake uzame mazima na nimempa onyo "bila valentine gifts ya gharama kubwa asikufuate"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom