Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Labda nikutumie namba ya wakala utoe anipe, lakini utume kwenye namba yangu halafi uwapigie mtandao husika umekosea urudishiwe,,,😂😂nitaambia nini watu?


Ila kambinu makini kakuombeamo namba haka nimekaelewa
Mimi nakutumia vocha ya 10k tu. Niambie. Mtandao gani halafu kwani kuna ubaya kuni PM namba yako?
 
Kumbe bado mnaendelea kusutana humu ndani[emoji23][emoji23]
 
Kumbe na wewe ni wa Dom Dom...
Ndugu yangu mie kaskazini girl, Dom mahangaiko tu ya maisha yamenileta miezi michache iliyopita lakini nashangaa taarifa zake zimekuwa nyingi mno ghafla...!😂😂
 
Ndugu yangu mie kaskazini girl, Dom mahangaiko tu ya maisha yamenileta miezi michache iliyopita lakini nashangaa taarifa zake zimekuwa nyingi mno ghafla...!😂😂
Wote Dom tunatafuta mkate...ila ndo upate presha ya kuhama kisa hizi tuhuma...utakua unatania mrembo 😆 😆 😆
 
Maneno adhimu
Maneno ghali
Maneno yenye upendo.
Maneno mazuri kutoka kwa mtu mzuri, nmesoma hii koment nmefika katikati nmejikuta nnatabasam heavy sana. Umewekeza upendo, be blessed Chakorii .
Maisha haya ni bora kuwa mtoaji kuliko mpokeaji.

Amen Half American.

Huu moyo Sijui nimeutolea wapi aise.naweza kumuonea mtu huruma mpaka machozi na kwikwi(hususani nikiwa siko katika nafasi ya kumsaidia 🥹🥹)

Ngoja sasa nikuchekeshe ndugu mmarekani mwenzangu😄😄kuna siku nimepiga vyombo vyangu kiaina..nikakutana na kitoto kidogo kinafanya biashara saa hiyo ni saa tatu na nusu usiku🥹🥹hajala na hajauza biashara zake…aise nililia mnooo..yani nililia sana kuliko kawaida.

Baadae nikaja kujiuliza hivi kwanini nalilia vile?😄😄nikagundua kuwa kumbe nikipiga gambe huwa nashindwa kuuzuia moyo kabisa.

😅😅mie phaller sana.Niko too emotional 🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Thus is a very touching statement. Leo nitamtafuta kaka yake niongee naye
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…